Yanga v/s Ruvu shooting Live National Stadium

Kumbukeni CHELSEA TUMESHINDA LEO.
yanga wana bahati.
abdalaman musa kapiga ukagonga mwamba ukamrudia akapiga tena ukambabatiza becco akapiga tena beko akadaka. hadi sasa beko kapata majeruhi kalala. zimebaki dakika 3. Hii ni kama bahati kwa Yanga coz hamna haya beki aliye saidia huo mtinange. mia
 
mlikua na mimi reporter wenu figganigga wa jamiiforums. tuonane wakati mwingine siku nyingine. lakini huu upuuzi wanao ufanya startv tuukemee kwa nguvu zote. walikuwa wanagombania nini kuonesha ligi kuu wakati wanajua hawawezi. wangewaachia itv. watanzania tumetawaliwa na tamaa. njia mbili zilimshinda fisi. bye!. mia
 
Haya mabao aliyofunga Rooney tuiteje? na yenyewe ni hat tricky maana amefunga mabao 3 including la kujifunga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom