Yanga v/s Ruvu shooting Live National Stadium

said abdallah kapewa kadi ya njano baada ya kumchezea madhambi kanavaro. alitaka mumuumiza beki wa yanga. mia
 
baba isaya (minziro) hadi sasa haamin matokeo. kasimama wima na zimeongezwa dakika nne za nyongeza. kavumbagu anakosa goli tena. mia
 
STani star tv wameniuzi kweli leo ni aibu hata kuongea waliotufanyia yanga, kwanini hawakuonyesha mechi ya chels na totenam,. Ujinga huu
 
CHELSEA TUMESHINDA NNE KWA MBILI.
Mpira ni mapumziko
RUVU SHOOTUNG 2 - 2 YANGA. mia
 
STani star tv wameniuzi kweli leo ni aibu hata kuongea waliotufanyia yanga, kwanini hawakuonyesha mechi ya chels na totenam,. Ujinga huu

mkuu walionyesha wakakatiza ili wajiunge na mpira wa dar. Lakini leo startv wameuthi. hawana msimo wanataa ya kuonyesha mipira yote ya leo. kila mechi wameonyesha dakika 37. mwenye access awambie wasirudie huu ujinga. mia
 
Ruvu wanacheza sana madhambi kwa yanga. Gumbo anakosa goli yeye na kipa kapaisha. mia
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom