Yanga v/s Polisi morogoro National Stadium Live!

Wala siwezi kuwa na wivu kwa kuifunga Polisi, mngekuwa mmeifunga timu nyingine kama Mtibwa au Kagera Sugar magoli ya haraka haraka hivyo ndo kidooogo ingenifikirisha.

Mi najua unataja hizo timu kwa sababu zimetufunga sisi yanga,lakini tuliza boli mwanawane siku inakuja....inakuja....wengi watalia watasema siamki....na watakuzikaaaaa....bila kupenda,na watakuzikaaaaa...bila kupenda,utafungwa tu si umenusurika mara nne,subiri.
 
hivi yanga ni yangapi kwenye msimamo wa ligi maanaona magoli yameanza kutafutwa kwa guvu, refa wape penalt nyingine..
 
hivi yanga ni yangapi kwenye msimamo wa ligi maanaona magoli yameanza kutafutwa kwa guvu, refa wape penalt nyingine..

Ni ya tatu kwenye msimamo wa ligi najua unafahamu ila unajoki ila sio tatizo lako tuko humu kwa ajili ya kusaidia watu kama nyie.
 
Kwa taarifa yako kufunga magoli ni sehemu ya ufundi hivyo kuna tofauti hapo.

Wasubiri mechi yao Jumamosi. Tunahitaji pt 3 na siyo ufundi. Ingektwa ufundi basi Chelsea asingechukua ubingwa wa kombe la UEEA angepewa Barcelona. Waelewe hivyo.
 
Chamazi bado ni moja kwa moja, na Ruvu shooting wanashambulia kama nyuki.
Wale watoto wa Ruvu wabaya sana wale,mimi naamini team yeyote inayoisumbua Yanga hiyo ni noumar...ndo kinachowakuta Azam sasa hv
 
half time ba Masuke tuna 2-0

Mkuu mimi nilijua hii mechi mtashinda ila kilichonishtua ni hayo magoli ya haraka haraka na kingine jina la Golikipa wa Polisi nalo linashtua kweli, eti anaitwa Manji!!!!, hakuna uhusiano na mwenye kigoda wa timu kweli hapa.
 
Wale watoto wa Ruvu wabaya sana wale,mimi naamini team yeyote inayoisumbua Yanga hiyo ni noumar...ndo kinachowakuta Azam sasa hv
Kwa hiyo Simba unaamini ni noma pia au hiyo imani yako ni kwa timu zingine tu?
 
mnyama kalainika jmosi watu wanapita kiulaini, alikaza mwanzo tukajua mwanaume kumbe wakiume!
Sasa gari limewaka, mnapasuka tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom