Yanga v/s Polisi morogoro National Stadium Live!

Bado 2.......bado 2........bado 2..........bado 2...........bado 2!
 
timu zipo uwanjani zinapasha,Yanga amevaa T-shirt ya njano na bukta kijani huku polisi moro amevaa t-shirt blue na bukta nyeupe soksi zao nyeupe pia
 
naona kocha wa Yanga amewaita Mabeki wake Nsajigwa, Canavaro, Mwasika na Twite kuwakabizi majukumu.......alikadhalika na viongo akina Niyonzima.
 
Dakika ya kwanza tu wanajeshi wakatikisa nyavu, sema tatizo la hawa wanajeshi hawajui kungangamala.
dah! Jamaa wana bahati ya kupata magoli ya mapema, ila basi kama unavyosema hawajui kugangamala.
 
Tuko pamoja apa jukwaani namwona pacha wake twitw naskia ashanza kupasha na yanga mazoezi
 
Naam mechi imeanza na tayari kipa wa Polisi kaumua baada ya kugongana na Msuva.
 
Balatanda na Anselm niko uwanjani nawaletea mambo, msikonde na nyie mechi yetu-Simba na Azam nawategemea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom