Yanga v/s Polisi morogoro National Stadium Live!

Jamani mnaofuatlia endeleeni kutujuza kinachojiri.mpaka dkk hii polisi keshapigwa ngapi
 
Ukiondoa matokeo, kiufundi hakuna tofauti yoyote kati ya Polisi na Yanga
 
Toa makopo yako hapa wewe nenda kashangilie Simba yako jumamosi mtanyweshwa maziwa na Azam we subiri,sisi tunasonga mbele na lazima tuwakute hapo juu mmesimama.
Nyie wenyewe pamoja na kupewa penati mlishindwa kutufunga ndo mnataka mtufunge kupitia Azam?
 
Nyie wenyewe pamoja na kupewa penati mlishindwa kutufunga ndo mnataka mtufunge kupitia Azam?

Masuke mbona wivu sana mkuu??,au hayo magoli 2-0 dhidi ya polisi mpaka sasa dakika ya 35 yanakutia pressure?huu ni mpira bana we tulia tu hii ni zamu yetu zamu yenu ya kushinda kwenye uwanja huu ilikuwa mechi za awali saivi ni zamu yetu
 
Wala siwezi kuwa na wivu kwa kuifunga Polisi, mngekuwa mmeifunga timu nyingine kama Mtibwa au Kagera Sugar magoli ya haraka haraka hivyo ndo kidooogo ingenifikirisha.
 
Lakini tutashinda mimi tangu mwanzo kwenye thread yangu ya kwanza kabisa nilisema tutashinda 5-1,wala usihofu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom