Yanayojiri mkutano wa NCCR - Disemba 17, 2011

Status
Not open for further replies.
sasa nina wasiwasi na Mbatia pia! Sidhani kama ana lengo zuri na NCCR, ana kila dalili za uccm! Mungu ibariki CHADEMA!
 
Ni muda mwafaka sasa waTZ kung'amua vyama vya siasa na vyenye fyucha ya TZ kama kipao mbele ya na vile vyenye fyucha ya viongozi wao kama priority
 
Mnamkumbuka huyu jamaa wakati wa uchaguzi Igunga alikuwa anatuletea habari akisema yuko ndani ya kikao cha CDM sasa leo tena yuko ndani ya kikao ca NCCR inakuwaje ina maana yeye ni mjumbe wa vyama vyote. Ila ngoja tusubiri anaweza kweli kuwa na access na sehemu zote you never know.

May be ni paparazi.
 
Ndiyo intelijensia hyo
Mnamkumbuka huyu jamaa wakati wa uchaguzi Igunga alikuwa anatuletea habari akisema yuko ndani ya kikao cha CDM sasa leo tena yuko ndani ya kikao ca NCCR inakuwaje ina maana yeye ni mjumbe wa vyama vyote. Ila ngoja tusubiri anaweza kweli kuwa na access na sehemu zote you never know.
 
Ama kweli kuwekeza kweny siasa ni probability, sikuyoyote ukimkwaza mtu anakuvua uanachama na ubunge huna tena. Naona bora nikimbie.
 
hivi watu makini kama Dr. Semgodo Mvungi wapo wapi watumie busara zao kuinusuru hii chama, au inaonyesha ameshachoshwa na yeye
 
Tiss
huyo
mnamkumbuka huyu jamaa wakati wa uchaguzi igunga alikuwa anatuletea habari akisema yuko ndani ya kikao cha cdm sasa leo tena yuko ndani ya kikao ca nccr inakuwaje ina maana yeye ni mjumbe wa vyama vyote. Ila ngoja tusubiri anaweza kweli kuwa na access na sehemu zote you never know.
 
Mbatia anacheza na akili za watanzania hata kama atapona this time but he will not be the same again.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom