Yanayojiri mkutano wa NCCR - Disemba 17, 2011

Status
Not open for further replies.
Mabounce waliopo wamekodiwa na Jemus Mbatia na wamevaa sare za NCCR Mageuzi.
 
mkuu umenena vema hata mimi nadhani mchezo huu mchafu unafanywa na magamba,tena kwa gharama ya pesa nyingi sana,na wanajitahidi kuweka mapandikizi na kuanzisha migogor kudhoofisha vyama vya upinzani,hapa kweli hata CHADEMA wanapaswa kuwa na hali ya uangalifu-maximum care juu ya kukabiliana na haka kamchezo.CCM A wanambinu nyingi chafu tuwe waangalifu jamani
 
chadema jiandaeni,ccm A wapo kwenye mission kuelekea 2015,..shibuda,selasini,zitto are people to watch closely now than ever

ccm haihusiki na siasa chafu za kuvuruga upinzani,muhimu ni nyie mjipange vizuri kuweza kuwanyamazisha hao wanachama wenu wenye kiu ya madaraka kama Zitto,Shibuda,Lema na Waitara
 
Kikao ndio kinakaribia kuanza, mwafaka umefikiwa wale wajumbe hawatapiga kura yoyote mpaka viyhibitisho viletwe hapa, lakini inaonekana vyovyote vile Mbatia kashikilia Mpini, Mkosamali na Kafulila wameshika ncha. Nitawajuza sasa hivi ni muda wa kugonga tea.
 
Tunakupata bila chenga wa jikoni, hii ndio raha ya JF
 
Wewe Wa Kusoma unadhani nani atakuamini humu? Haupo kwenye kikao na wala hauna hadhi ya kualikwa popote, wewe subiri T-shirt na kofia za bure 2015, lakini hauna hadhi ya kuingia kikao cha chama chochote hapa nchini.
 
Natamani nisogee mahala hapo ila sina grovuzi make unaweza ukatakiwa kurusha makonde mpaka ukaibuka shujaa na ukapewa nishani...

Hivi vyama mwanzo vilikuwa pamoja kupinga kambi rasmi ya CDM sasa naona kivumbi kinatimka ndani kwa ndani...tatzo wapo kimasrahi zaidi lakini ni bora vife tubaki kuijenga CDM as a fiercer party
 
Kikao ndio kinakaribia kuanza, mwafaka umefikiwa wale wajumbe hawatapiga kura yoyote mpaka viyhibitisho viletwe hapa, lakini inaonekana vyovyote vile Mbatia kashikilia Mpini, Mkosamali na Kafulila wameshika ncha. Nitawajuza sasa hivi ni muda wa kugonga tea.

mkuu chai saa saba?
 
vicious-cycle-vicious-cycle-demotivational-poster-1273122935.jpg
 
Tea saa hzi?
Kikao ndio kinakaribia kuanza, mwafaka umefikiwa wale wajumbe hawatapiga kura yoyote mpaka viyhibitisho viletwe hapa, lakini inaonekana vyovyote vile Mbatia kashikilia Mpini, Mkosamali na Kafulila wameshika ncha. Nitawajuza sasa hivi ni muda wa kugonga tea.
 
Wewe Wa Kusoma unadhani nani atakuamini humu? Haupo kwenye kikao na wala hauna hadhi ya kualikwa popote, wewe subiri T-shirt na kofia za bure 2015, lakini hauna hadhi ya kuingia kikao cha chama chochote hapa nchini.
Mnamkumbuka huyu jamaa wakati wa uchaguzi Igunga alikuwa anatuletea habari akisema yuko ndani ya kikao cha CDM sasa leo tena yuko ndani ya kikao ca NCCR inakuwaje ina maana yeye ni mjumbe wa vyama vyote. Ila ngoja tusubiri anaweza kweli kuwa na access na sehemu zote you never know.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom