Yanayojiri mkutano wa NCCR - Disemba 17, 2011

Status
Not open for further replies.

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Kuna mgogoro mkubwa unaoashiria Mapigano eneo Ada Estate karibu na ofisi za TCD zamani.

Kikao kinashindwa kuanza Mbatia kaleta Majeshi na wajumbe feki 25.
 
Lengo lililopo ni kwamba wajumbe hao feki waunge mkono hoja kuwanyang'anya kadi Kafulila, Hashimu Rungwe,Bw Bwana , Mkosamali
 
Lengo lililopo ni kwamba wajumbe hao feki waunge mkono hoja kuwanyang'anya kadi Kafulila, Hashimu Rungwe,Bw Bwana , Mkosamali

hebu tulia tuletee habari kamili mbona kama unaandika kwa woga?
 
Wakuu kikao haikijaanza ,tatizo wajumbe waliopo si wajumbe wa kawaida kuna mgogoro wa Mbatia kuingiza 25 feki wanazozana sasa polis hawa hapa
 
Mkuu wewe uko eneo la tukio au kuna mtu anakuhabarisha,kama uko eneo la tukio na wamekubana jitahidi basi uwe unaenda wash room halafu unatutumia habari,maana sijaelewa kwani leo ndio ilikuwa siku ya kikao?na hao wajumbe feki wamepatje nafasi ya kushiriki kwani wajumbe si wapo kikatiba na lazima wafahamike?anyway jitahidi utape updates
 
Mzozo unao ashiria mapigano umezuka na Mabounce wapo nje kumulinda Mbatia na Kundi lake. Sasa inaonekana kuna mjumbe kapiga simu polis sasa polis wanaingia!
 
Mie nipo Mbali lakini hali ya Humo ndani sauti ni kali zenye munkali!
 
Mkosamali karibu CDM na utarudi tu mjengoni,hata Kafulila utasamehewa makosa yako kama utakuwa umejirekebisha,atawahangaisha sana huyo kibaraka wa CCM,na kama leo kaleta wajumbe feki hakikisheni mnamuumbua kabisa
 
Vipi hao polisi wanamabunduki yao?na je wako wengi maana leo hapo inavyoonekana lazima zichapwe,
 
haaaaaaaaa! kumbe unatoa taarifa ukiwa nje,hembu kuwa makini na taarifa zako usikisie mkuu!
 
Kikao cha Halmashauli Kuu NCcr Kuamua kumuvua uanachama Kafulila na wenzake kinafanyika leo Ada estate karibu na ofisi za Tcd zamani.Kikao kimeshindwa kuanza kutokana na Mzozo wa wajumbe 25 feki walioletwa na Mbatia, huku Mabounce wasiowanachama wa NCCR wamewekwa na Mbatia kulinda kikao hicho.Ndani wajumbe hao feki wanakataliwa !
 
Du hata hivyo mkuu taarifa unazipataje wakati uko nje?ila endelea zinatufaa kimtindo
 
so disappointing indeed..; hivi mbatia yuko tayari kuwatosa wananchama wenzake ili wapoteze ubunge? hivi maslahi ya chama, kambi ya upinzani na taifa yamezingatiwa au maslahi binafsi ya mwenyekiti ndio yanayo-override everything else?
 
Masilah ya Mbatia kwanza, CCM halaf taifa badae
so disappointing indeed..; hivi mbatia yuko tayari kuwatosa wananchama wenzake ili wapoteze ubunge? hivi maslahi ya chama, kambi ya upinzani na taifa yamezingatiwa au maslahi binafsi ya mwenyekiti ndio yanayo-override everything else?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom