Iko hivi kuhusu James Mbatia na NCCR-Mageuzi!

Dr Shekilango

Senior Member
Dec 30, 2013
192
117
Baada ya Mbatia kutimuliwa jana September 25 2022 ndani ya NCCR-Mageuzi pamoja na Vijana wake wakiwemo Edward Simbeye na Nicolas Clinton, Iko hivi;

Hii inakuja baada ya Makundi yanayonyukana ndani ya chama cha mapinduzi CCM, ikumbukwe makundi haya ni yale yanayomuunga Mkono Rais Samia na mengine Magufuli aliyefariki mwaka jana Mwezi March 2021.

Ngoma inaanza hivi; baada ya CHADEMA kupunguzwa nguvu na ACT ni chama washirika wa CCM lakini kwa sababu kadhaa hakitimizi matakwa malengo ya makundi mbalimbali ndani ya Nchi, chama pekee kilichokuwa kimebaki ni NCCR-Mageuzi inayoongozwa na Mbatia, NCCR-Mageuzi chini ya Mbatia ilionekana kuwa tishio na mwiba mkali kwenye serikali ya CCM kwa sababu kuwa chama hiki ni rahisi kupokea makundi yanayompinga Rais Samia kutoka CCM na Upinzani hivyo kuna hisia ya makundi haya kujiunga na NCCR-Mageuzi na kutoa Upinzani mkali kwa uchaguzi ujao!

Ili kudhibiti makundi haya ni kudhoofisha NCCR-Mageuzi na Mbatia kwa sababu Mbatia ameonesha msimamo mkali dhidi ya Rais Samia na hivyo kusababisha mawazo mseto, kinachotakiwa ni kuwa Rais Samia kama atagombea uchaguzi usiwepo Upinzani imara maana kukiwa na Upinzani imara hawezi kutoboa!

Sasa kuyadhibiti makundi haya kuingilia mlango wa NCCR-Mageuzi ni kukidhoofisha chama hicho na kuweka Mwenyekiti anayetokea Zanzibar ili kulinda maslahi ya Rais Samia maana huyu hatakubali kamwe kukubali NCCR-Mageuzi kutumika kama uwanja wa kumpa changamoto Rais Samia kwenye uchaguzi ujao lakini Mwenyekiti mpya wa NCCR-Mageuzi ni marafiki sana wameonekana mara nyingi kwenye picha za pamoja nje ya majukumu ya kiofisi kama watu wenye mahusiano mema ya karibu!

Mkutano mkuu uliyomtumua Mbatia na Vijana wake umemchangua Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti wa Taifa awali alikuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar, baada ya Mbatia kutofikika wakaamua kumuondoa mazima na kumfukuza uanachama!

Mkutano huo ulikuwa wa dharula lakini ulikuwa na ajenda tatu,
1. Kumtimua Mbatia na Vijana wake
2. Kubadili katiba ya chama na
3. Kuchagua viongozi wa Kitaifa wa NCCR-Mageuzi!

Mkutano mkuu wa dharula uwa na Ajenda Moja tu! Lakini pia Ukumbi wa St Gasper jana ulijazwa polisi, Nje ya Hotel hiyo magari matatu ya polisi na wengine walivalishwa sare za NCCR-Mageuzi kwa kusudi la Ulinzi ndani ya Hotel na kulindwa kwa Hotel zote ambazo wajumbe walifikia!

Taarifa zaidi zinaeleza fedha za kufanya mikutano hii zimetoka katika maeneo nyeti ya Nchi mawili moja wapo ni CCM na aliyekuwa anatumika ni Afisa Mtendaji wa CCM makao makuu kuwasiliana na viongozi wa NCCR-Mageuzi.

Msajili wa vyama vya siasa alitoa baraka kwa barua ya kufanyika kwa Mkutano huo na msajili anasema " Mimi ndiye niliyetoa kibali cha Mkutano huo kufanyika" wakati huo huo Waziri Mkuu na Waziri Simbachawene walitoa maelekezo ya kutatua mgogoro huo kwa busara kumbe wasichojua hawa viongozi ni mpango huu unaratibiwa na ofisi kuu ya Nchi!

Ambar Khamis ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar kwa miaka 23 tangu achaguliwe lakini Mkutano huo umemchagua kuwa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Taifa!

Hii ni kupunguza nguvu ya Upinzani kwa Rais Samia mwaka 2025 ili ashinde uchaguzi kirahisi! Jiulize kwa nini Umoja Party imenyimwa usajili mpaka leo chama hicho kinasubuli usajili wa muda tangu April 2022!

James Mbatia asipokuwepo NCCR-Mageuzi ni ngumu kwa makundi haya kujioganize kwenye chama hicho na hivyo aliyewekwa hapo ni kiongozi kutoka Zanzibar ambaye atalinda maslahi ya Rais Samia na CCM baada ya vyama vingine kulegezwa lakini pia kuonekana siyo majukwaa sahihi kwa makundi hayo.
 
...Taarifa zaidi zinaeleza fedha za kufanya mikutano hii zimetoka katika maeneo nyeti ya Nchi mawili moja wapo ni CCM na aliyekuwa anatumika ni Afisa Mtendaji wa CCM makao makuu kuwasiliana na viongozi wa NCCR-Mageuzi....

...aliyewekwa hapo ni kiongozi kutoka Zanzibar ambaye atalinda maslahi ya Rais Samia na CCM baada ya vyama vingine kulegezwa lakini pia kuonekana siyo majukwaa sahihi kwa makundi hayo.
Kamanda umezidi umbea.
 
Hii stori aliyekusimulia kimoja amesema ukweli mengine ni porojo.. Anayekaimu. Chama kitakufa kama CUF mtagawana wana chama wengine Chadema wengine act watakaobaki sisiem halafu uchaguzi ulkifika upinzani hamna chenu..
 
Baada ya Mbatia kutimuliwa jana September 25 2022 ndani ya NCCR-Mageuzi pamoja na Vijana wake wakiwemo Edward Simbeye na Nicolas Clinton, Iko hivi;

Hii inakuja baada ya Makundi yanayonyukana ndani ya chama cha mapinduzi CCM, ikumbukwe makundi haya ni yale yanayomuunga Mkono Rais Samia na mengine Magufuli aliyefariki mwaka jana Mwezi March 2021.

Ngoma inaanza hivi; baada ya CHADEMA kupunguzwa nguvu na ACT ni chama washirika wa CCM lakini kwa sababu kadhaa hakitimizi matakwa malengo ya makundi mbalimbali ndani ya Nchi, chama pekee kilichokuwa kimebaki ni NCCR-Mageuzi inayoongozwa na Mbatia, NCCR-Mageuzi chini ya Mbatia ilionekana kuwa tishio na mwiba mkali kwenye serikali ya CCM kwa sababu kuwa chama hiki ni rahisi kupokea makundi yanayompinga Rais Samia kutoka CCM na Upinzani hivyo kuna hisia ya makundi haya kujiunga na NCCR-Mageuzi na kutoa Upinzani mkali kwa uchaguzi ujao!

Ili kudhibiti makundi haya ni kudhoofisha NCCR-Mageuzi na Mbatia kwa sababu Mbatia ameonesha msimamo mkali dhidi ya Rais Samia na hivyo kusababisha mawazo mseto, kinachotakiwa ni kuwa Rais Samia kama atagombea uchaguzi usiwepo Upinzani imara maana kukiwa na Upinzani imara hawezi kutoboa!

Sasa kuyadhibiti makundi haya kuingilia mlango wa NCCR-Mageuzi ni kukidhoofisha chama hicho na kuweka Mwenyekiti anayetokea Zanzibar ili kulinda maslahi ya Rais Samia maana huyu hatakubali kamwe kukubali NCCR-Mageuzi kutumika kama uwanja wa kumpa changamoto Rais Samia kwenye uchaguzi ujao lakini Mwenyekiti mpya wa NCCR-Mageuzi ni marafiki sana wameonekana mara nyingi kwenye picha za pamoja nje ya majukumu ya kiofisi kama watu wenye mahusiano mema ya karibu!

Mkutano mkuu uliyomtumua Mbatia na Vijana wake umemchangua Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti wa Taifa awali alikuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar, baada ya Mbatia kutofikika wakaamua kumuondoa mazima na kumfukuza uanachama!

Mkutano huo ulikuwa wa dharula lakini ulikuwa na ajenda tatu,
1. Kumtimua Mbatia na Vijana wake
2. Kubadili katiba ya chama na
3. Kuchagua viongozi wa Kitaifa wa NCCR-Mageuzi!

Mkutano mkuu wa dharula uwa na Ajenda Moja tu! Lakini pia Ukumbi wa St Gasper jana ulijazwa polisi, Nje ya Hotel hiyo magari matatu ya polisi na wengine walivalishwa sare za NCCR-Mageuzi kwa kusudi la Ulinzi ndani ya Hotel na kulindwa kwa Hotel zote ambazo wajumbe walifikia!

Taarifa zaidi zinaeleza fedha za kufanya mikutano hii zimetoka katika maeneo nyeti ya Nchi mawili moja wapo ni CCM na aliyekuwa anatumika ni Afisa Mtendaji wa CCM makao makuu kuwasiliana na viongozi wa NCCR-Mageuzi.

Msajili wa vyama vya siasa alitoa baraka kwa barua ya kufanyika kwa Mkutano huo na msajili anasema " Mimi ndiye niliyetoa kibali cha Mkutano huo kufanyika" wakati huo huo Waziri Mkuu na Waziri Simbachawene walitoa maelekezo ya kutatua mgogoro huo kwa busara kumbe wasichojua hawa viongozi ni mpango huu unaratibiwa na ofisi kuu ya Nchi!

Ambar Khamis ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar kwa miaka 23 tangu achaguliwe lakini Mkutano huo umemchagua kuwa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Taifa!

Hii ni kupunguza nguvu ya Upinzani kwa Rais Samia mwaka 2025 ili ashinde uchaguzi kirahisi! Jiulize kwa nini Umoja Party imenyimwa usajili mpaka leo chama hicho kinasubuli usajili wa muda tangu April 2022!

James Mbatia asipokuwepo NCCR-Mageuzi ni ngumu kwa makundi haya kujioganize kwenye chama hicho na hivyo aliyewekwa hapo ni kiongozi kutoka Zanzibar ambaye atalinda maslahi ya Rais Samia na CCM baada ya vyama vingine kulegezwa lakini pia kuonekana siyo majukwaa sahihi kwa makundi hayo.
Mpambanaji kamili haognpi wapinzani anapambana nao hukohuko akiwa amejipanga.Kudhoofisha kwanza mpinzani kwa gharama ni uwoga.
 
Maji yanapotiririka ukazuia upande huu kwa ukuta,yatatafuta upande mwingine yapite

Haijalishi umeziba kiasi gani

Upinzani upo rohoni mwa watu....

Mama anafeli na anazidi kufeli kudhani maadui zake wapo opposition,maadui zake halisi wapo humo humo CCM,she will come to learn the hardest..
 
Ndio hapa tunafichwa watu weusi. Hatupendi kusoma.
Nje ya mada: Ila binafsi, namhusudu sana Mbatia. Hana maskendo na alikua anafaa sana kuwa rais wa hii nchi.
Baada ya Mbatia kutimuliwa jana September 25 2022 ndani ya NCCR-Mageuzi pamoja na Vijana wake wakiwemo Edward Simbeye na Nicolas Clinton, Iko hivi;

Hii inakuja baada ya Makundi yanayonyukana ndani ya chama cha mapinduzi CCM, ikumbukwe makundi haya ni yale yanayomuunga Mkono Rais Samia na mengine Magufuli aliyefariki mwaka jana Mwezi March 2021.

Ngoma inaanza hivi; baada ya CHADEMA kupunguzwa nguvu na ACT ni chama washirika wa CCM lakini kwa sababu kadhaa hakitimizi matakwa malengo ya makundi mbalimbali ndani ya Nchi, chama pekee kilichokuwa kimebaki ni NCCR-Mageuzi inayoongozwa na Mbatia, NCCR-Mageuzi chini ya Mbatia ilionekana kuwa tishio na mwiba mkali kwenye serikali ya CCM kwa sababu kuwa chama hiki ni rahisi kupokea makundi yanayompinga Rais Samia kutoka CCM na Upinzani hivyo kuna hisia ya makundi haya kujiunga na NCCR-Mageuzi na kutoa Upinzani mkali kwa uchaguzi ujao!

Ili kudhibiti makundi haya ni kudhoofisha NCCR-Mageuzi na Mbatia kwa sababu Mbatia ameonesha msimamo mkali dhidi ya Rais Samia na hivyo kusababisha mawazo mseto, kinachotakiwa ni kuwa Rais Samia kama atagombea uchaguzi usiwepo Upinzani imara maana kukiwa na Upinzani imara hawezi kutoboa!

Sasa kuyadhibiti makundi haya kuingilia mlango wa NCCR-Mageuzi ni kukidhoofisha chama hicho na kuweka Mwenyekiti anayetokea Zanzibar ili kulinda maslahi ya Rais Samia maana huyu hatakubali kamwe kukubali NCCR-Mageuzi kutumika kama uwanja wa kumpa changamoto Rais Samia kwenye uchaguzi ujao lakini Mwenyekiti mpya wa NCCR-Mageuzi ni marafiki sana wameonekana mara nyingi kwenye picha za pamoja nje ya majukumu ya kiofisi kama watu wenye mahusiano mema ya karibu!

Mkutano mkuu uliyomtumua Mbatia na Vijana wake umemchangua Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti wa Taifa awali alikuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar, baada ya Mbatia kutofikika wakaamua kumuondoa mazima na kumfukuza uanachama!

Mkutano huo ulikuwa wa dharula lakini ulikuwa na ajenda tatu,
1. Kumtimua Mbatia na Vijana wake
2. Kubadili katiba ya chama na
3. Kuchagua viongozi wa Kitaifa wa NCCR-Mageuzi!

Mkutano mkuu wa dharula uwa na Ajenda Moja tu! Lakini pia Ukumbi wa St Gasper jana ulijazwa polisi, Nje ya Hotel hiyo magari matatu ya polisi na wengine walivalishwa sare za NCCR-Mageuzi kwa kusudi la Ulinzi ndani ya Hotel na kulindwa kwa Hotel zote ambazo wajumbe walifikia!

Taarifa zaidi zinaeleza fedha za kufanya mikutano hii zimetoka katika maeneo nyeti ya Nchi mawili moja wapo ni CCM na aliyekuwa anatumika ni Afisa Mtendaji wa CCM makao makuu kuwasiliana na viongozi wa NCCR-Mageuzi.

Msajili wa vyama vya siasa alitoa baraka kwa barua ya kufanyika kwa Mkutano huo na msajili anasema " Mimi ndiye niliyetoa kibali cha Mkutano huo kufanyika" wakati huo huo Waziri Mkuu na Waziri Simbachawene walitoa maelekezo ya kutatua mgogoro huo kwa busara kumbe wasichojua hawa viongozi ni mpango huu unaratibiwa na ofisi kuu ya Nchi!

Ambar Khamis ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar kwa miaka 23 tangu achaguliwe lakini Mkutano huo umemchagua kuwa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Taifa!

Hii ni kupunguza nguvu ya Upinzani kwa Rais Samia mwaka 2025 ili ashinde uchaguzi kirahisi! Jiulize kwa nini Umoja Party imenyimwa usajili mpaka leo chama hicho kinasubuli usajili wa muda tangu April 2022!

James Mbatia asipokuwepo NCCR-Mageuzi ni ngumu kwa makundi haya kujioganize kwenye chama hicho na hivyo aliyewekwa hapo ni kiongozi kutoka Zanzibar ambaye atalinda maslahi ya Rais Samia na CCM baada ya vyama vingine kulegezwa lakini pia kuonekana siyo majukwaa sahihi kwa makundi hayo.
NCCR ndo chama kinachoandaliwa kuwapokea COVID 19, kitapokea pia mapandikizi Kutoka CCM Ili waje waipunguze nguvu CDM.

Tunawasubiri ulingoni, wananchi wanajua nyeusi ni ipi na nyeupe ni ipi.

Ameeeen
 
Back
Top Bottom