Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,506
- 113,624
Wanabodi,
View: https://www.youtube.com/live/FKV_bbjQpg4?si=zxr9EcF4YASpj6Fo
Niko hapa ukumbi, JNICC, kwenye Mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchni Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa mkutano huu, wa siku 3 ni Rais Samia na utafungwa na Rais wa Zanzibar Dr. Mwinyi. Nitakuletea kwa uchache kile kinachoendelea hapa.
Kwa vile huu mkutano utakuwa live, nitakuunga na live stream ya mkutano, kisha nitakuletea Vox Pop ya baadhi ya wajumbe wa mkutano huu.
Hivi sasa ukumbi uko full, viongozi wa vyama na wadau mbalimbali wa maendeleo wako ukumbini wakila burudani ya Mjomba Mrisho Mpoto wakati tukimsubiri Rais Samia kuwasili ukumbini na mkutano kuanza.
Hii ndio ratiba ya mkutano huu
OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
RATIBA YA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA UNAOSHIRIKISHA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO YA KIKOSI KAZI NA KUJADILI HALI YA SIASA NCHINI
UTAFANYIKA TAREHE 11, 12 NA 13 SEPTEMBA, 2023 KATIKA KITUO CHA MIKUTANO JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE DAR -ES SALAAM
Karibuni
Paskali
===
Kujua zaidi yanayoendelea soma LIVE - Rais Samia akishiriki Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia, leo Septemba 11, 2023
Update 1.
Wanabodi, Nimefanya Kipindi Maalum cha Kwa Maslahi ya Taifa kuhusu mkutano huu, kwa vile mkutano ulikuwa live, naomba mimi nisilete kilichojadiliwa ndani ya mkutano bali nikuletee Vox Pop za baadhi ya washiriki Muhimu wa Mkutano huu wa Msajili wa Vyama vya Siasa, Vyama vya Siasa, Kikosi Kazi na Wadau wa Demokrasia Day-1
View: https://youtu.be/VZlHxInJWfI?si=dyjhzmV32K_10Hyt
P
Update 2
Wanabodi, Nimefanya Kipindi Maalum cha Kwa Maslahi ya Taifa kuhusu mkutano huu, kwa vile mkutano ulikuwa live, naomba mimi nisilete kilichojadiliwa ndani ya mkutano bali nikuletee Vox Pop za baadhi ya washiriki Muhimu wa Mkutano huu wa Msajili wa Vyama vya Siasa, Vyama vya Siasa, Kikosi Kazi na Wadau wa Demokrasia Day-2
View: https://youtu.be/f5YJTJjG9rw?si=h8xMkhQ0RfT2Nw0e

Siku ya Kwanza Tarehe 11 Septemba 2023 | ||
MUDA | TUKIO | MUHUSIKA |
01:00-03:00 Asubuhi | Washiriki kuwasili ukumbini, Chai na Kujisajili | Kamati ya Maandalizi |
03:00-03:20 Asubuhi | Kuwasili Viongozi wa Serikali na Kitaifa. | Kamati ya Mapokezi na Itifaki |
03:20-03:25 Asubuhi | Kuwasili Mheshimiwa Dkt. Tulia Akson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania na Mhe. Zubeir Ali Maulid (M) Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar. | Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, SBU, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili wa Vyama vya Siasa |
03:25-03:30 Asubuhi | Kuwasili Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla (M), Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, | Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, SBU, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili wa Vyama vya Siasa |
03:30 –03:35 Asubuhi | Kuwasili Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, | Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, SBU, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili wa Vyama vya Siasa |
03:35-03:40 Asubuhi | Kuwasili Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. | Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, SBU, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili wa Vyama vya Siasa |
03:40-04:00 Asubuhi | Kuwasili Mgeni Rasmi, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. | Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, SBU, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili wa Vyama vya Siasa |
04:00 -04:10 Asubuhi | Wimbo wa Taifa na Wimbo wa Afrika Mashariki | Mwongoza Mkutano |
04:10 -04:20 Asubuhi | Dua na Sala | Viongozi wa Dini |
04:20 -04:25 Asubuhi | Kukaribisha viongozi na washiriki wengine katika mkutano. | Mhe. Juma Ali Khatib (M) Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa. |
04:25 -04:40 Asubuhi | Kutambulisha viongozi wa Kitaifa, Serikali na wageni waalikwa na kueleza madhumuni ya mkutano | Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa, |
04:40-04:45 Asubuhi | Kusalimia Washiriki | Mhe. Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar-es salaam |
04:45-04:55 Asubuhi | Kusalimia Washiriki. | Mhe. Hamza Hassan Juma (M) Waziri wa Nchi, Ofisi |
ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi | ||
04:55-05:05 Asubuhi | Kusalimia Washiriki na kumkaribisha Mheshimiwa Waziri Mkuu asalimie washiriki na amkaribishe Mgeni Rasmi kufungua mkutano. | Mhe. Jenista J. Mhagama (Mb), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu. |
05:05 -05:20 Asubuhi | Kusalimia Washiriki na kumkaribisha Mgeni Rasmi kufungua mkutano | Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. |
05:20- 06:20 Mchana | Hotuba ya Ufunguzi | Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. |
06:30 – 06:50 Mchana | Picha | Mwongoza Mkutano |
6:50-7:00 Mchana | Mgeni Rasmi kuondoka | Kamati ya Itifaki |
07:00 – 08:00 Mchana | Chakula | Washiriki Wote |
08:00-08:20 Mchana | Washiriki kujitambulisha | Washiriki Wote |
08:20-08:25 Mchana | Maelezo kabla ya kuanza mjadala | Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa, |
08:25-08:30 Mchana | Kuwakaribisha watoa mada na washiriki wengine katika mjadala | Mhe. Juma Ali Khatib (M), Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa |
08:30-09:20 Alasiri | Mada ya Kwanza: Hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024 na Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. | Profesa Alexander B. Makulilo, Mhadhiri, Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala, Chuo Kikuu cha Dar-es salaam. |
09:20-10:20 Alasiri | majadiliano | Mwenyekiti wa Mkutano |
10:45-10:55 Alasiri | Kuhitimisha Mada | Profesa Alexander B. Makulilo, Mhadhiri, Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala, Chuo Kikuu cha Dar-es salaam. |
10:55-11:00 Alasiri | Kuahirisha Mkutano | Mwenyekiti wa Mkutano |
Siku ya Pili Tarehe 12 Septemba 2023 | ||
01:30 – 03:00 Asubuhi | Chai na kujisajili | Washiriki wote |
03:00 – 04: 00 Asubuhi | Mada ya Pili: Mapendekezo ya Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilichofanyia kazi masuala yanayohusu demokrasia ya vyama vingi vya siasa | Profesa Rwekaza S. Mukandala, Mkamu Mkuu wa Chuo Mstaafu na Mhadhiri Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala, Chuo Kikuu cha Dar-es salaam. |
04:00-04:40 Asubuhi | Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi | Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu |
04:40–07:00 Mchana | Majadiliano | Mwenyekiti wa Mkutano |
07:00 – 08:00 Mchana | Chakula | Washiriki wote |
08:00–09:50 Alasiri | Majadiliano | Mwenyekiti wa Mkutano |
09:50–10:10 Alasiri | Kuhitimisha Mada | Profesa Rwekaza S. Mukandala, Mhadhiri, Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala, Chuo Kikuu cha Dar-es salaam. |
10:10–10:25 Alasiri | Kuhitimisha Mada | Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu |
10:25–10:30 Alasiri | Kuahirisha Kikao | Mwenyekiti wa Mkutano |
Siku ya Tatu Tarehe 13 Septemba 2023 | ||
01:30 – 03:00 Asubuhi | Chai na Usajili | Washiriki Wote |
03:00-04:00 Asubuhi | Mada ya Tatu: Umuhimu wa 4R katika shughuli za kisiasa nchini (Maridhiano (Reconciliation, Ustamilivu (Reciliance), Mageuzi (Reform) na Ujenzi mpya wa Taifa (Rebuilding)) | Profesa Mohamed Makame Haji, Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) |
04:00-06:50 Mchana | Majadiliano | Mwenyekiti wa Mkutano |
06:50-07:00 Mchana | Kuhitimisha Mada | Profesa Mohamed Makame Haji, Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo |
Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) | ||
07:00-08:00 Mchana | Chakula | Washiriki Wote |
08:00- 08:20 Mchana | Kuwasili Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi | Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, SBU, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili wa Vyama vya Siasa |
08:20 -08:35 Mchana | Kutambulisha viongozi wa kitaifa, Serikali, washiriki na kueleza maazimio ya mkutano. | Mhe. Jaji Francis S.K. Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa, |
08:35 -08:40 Mchana | Kutoa shukrani kwa Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Washiriki | Mhe. Juma Ali Khatib, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa |
08:40- 08:50 Mchana | Kutoa shukrani na kumkaribisha Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kufunga mkutano | Mhe. Jenista J. Mhagama (Mb), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu |
08:50 -09:40 Alasiri | Hotuba ya kufunga mkutano | Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. |
09:40-09:55 Alasiri | Picha | Mwongaza Mkutano |
09:55-10:00 Alasiri | Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuondoka | Kamati ya Itifaki. |
MWISHO |