Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

Chadema badala ya kueleza kitawafanyia nini watanzania wanaeleza Dr.Magufuli kawanyima mahindi wasukuma.
 
Kaanzie Moshi na Arusha, sisi wa Kanda ya Ziwa tumeishamaliza kazi yetu tunasubiri kwenda Dar kumuapisha Magufuli kama rais wa awamu ya tano,
Mkuu umemsikia prof Safari kule mwanza.huyu rais wako unaetaka kwenda kumuapisha kishakutwa na hatia ya kutoa kutoa rushwa,ila kwa Kuwa wewe ni miongoni mwa watanzania wasiojipenda na kupenda nchi Yao basi endelea na magufuli
 
Mbowe anakwenda kuwakabidhi kadi za Chadema Esther Bulaya na James Lembeli. Aaahhh!! Huu ni ukombozi kwelukweli peeeeeoooplezzzzzzzzz!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom