Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

Mara ziende chadema, mara ziende ACT, mara zirudi CCM tunachoka kwa kweli hawa wanachama wenu wafundisheni kuwa na misimamo..

Yaani inaudhi. Watu wanakuwa kama bendera? Upepo ukivuma hivi wanageukia huko, ukibadilika wanageukia huku.

Kabla hujajiunga na Chama fulani Chukua muda kusoma KATIBA, ilani na machapisho ya vyama ili ujue misingi ya vyama hivyo na ndipo uchague unapoona panakufaa. Sio Mara leo CCM, Kesho CHADEMA, keshokutwa ACT, n.k. Ukweli ni kuwa wengi ya hao wanaohamahama hawajui kitu kuhusu misingi ya vyama wanavyohamia kutwa kucha!

Watanzania tujifunze kuwa na msimamo!
 
Bora kuwa na kadi moja tu ya mpiga kura za vyama tuachane nazo maana leo ziko huko, kesho kule keshokutwa zinarudishwa zilikotoka! Daa inagharimu uchumi!
 
Yaani inaudhi. Watu wanakuwa kama bendera? Upepo ukivuma hivi wanageukia huko, ukibadilika wanageukia huku.

Kabla hujajiunga na Chama fulani Chukua muda kusoma KATIBA, ilani na machapisho ya vyama ili ujue misingi ya vyama hivyo na ndipo uchague unapoona panakufaa. Sio Mara leo CCM, Kesho CHADEMA, keshokutwa ACT, n.k. Ukweli ni kuwa wengi ya hao wanaohamahama hawajui kitu kuhusu misingi ya vyama wanavyohamia kutwa kucha!

Watanzania tujifunze kuwa na msimamo!

Mkuu Mnafu Chadema Wapo makini sana Angalia wimbi lao nikubwa hata kukiwa na nini wakuvuliwa gamba atavuliwa tu maana hakuna namna
 
Vyama vya siasa ni kama msosi wa mama Nitilie, mtu asiposhiba hapa anahamia kwingine, na kule akikosa chumvi anahamie mtaa wa saba, akikutana na yule wa kwanza akamuongezea ndizi kwenye sahani anarudi tena looooooo ni maigizo!
 
Nimeshangazwa na top management ya chadema kujazana Mwanza kuja kumnadi Ester Bulaya huku hawana uhakika kama watasimamisha mgombea urais ni dalili za kuchanganyikiwa kisiasa. Kwa sasa huwezi jua maudhui ya mikutano ya chadema kama ni kutangaza nia ya urais au kujitambulisha kwa wanachama wao.

Hadi sasa hakuna hata mwanachama mmoja wa chadema aliyeonyesha nia ya kugombea urais tofauti na vyama vya CCM CUF na TLP ambavyo tayari vimeshaanza kupiga jaramba. Kuna tetesi wanazungumza na Lowasa ikishindikana basi hawana namna nyingine zaidi ya kumtangaza Lembeli kuwa mgombea urais kwani Dr. Slaa anakila dalili ataenda kugombea ubunge karatu baada ya mchungaji natse kutamka wazi hagombei tena.

Mkutano wa Mwanza haukuwa na coordination kwani kauli za mbowe na Tundu Lissu zilitofautiana mno, wakati Lissu alishupalia mambo ya ukabila mbowe alitofautiana nae waziwazi.
 
Tulia Sindano Ikuingie Acha Mchecheto . Ile ya CHADEMA Kufanya Mkutano Mkubwa Mwanza, Nadhani ni Political sensitization "Amshaamsha" Kwa lugha ya Mjini.

Ule Umati wa Watu Uliojitokeza ni Ishara ya Wapinzani Kuaminiwa na Umma wa Watz. Hata Hivyo Kwenye Politics ilikuwa ni Lazima

Kwa Chama Cha Siasa Makini Kama "CHADEMA" Kwenda Kanda ya Ziwa Penye Presiential Decisive Votes ili Kuamsha.

Hata Tukio la Kuwapokea Rasmi Mzee Lembeli, na Ms Bulaya Kwenye Siasa za Tanzania Sio Jambo dogo. Kwa Sasa Siasa ni Kama Biashara

gharama za Kumpoteza Mwanachama (Mtiifu & Mwaminifu) ni Kubwa zaidi Kuliko zile za Kumpata Mwanachama Mpya...Sababu ni Nyingi nami hapa nakupa Chache tu.

1. Mwanachama (Mtiifu&Mwaminifu) akikiama Chama Mara zote Ataondoka na Wafuasi watiifu Kwak.

2. Pia Kule Anakoamia akipata Nafasi ya Kupewa Jukwaa la Kutoa ya moyoni Basi Anakiumiza Chama alichokiama.

3....

4...
 
Ndugu yangu kika chama kina talatibu zake, ndio maana sisi jadema tunakamilisha kuchagua wabunge lakini ccm bado. Usitulazimishe tufanye unayo yataka wewe. Pia ester sio mgombea wa mwanza
 
Naona mmechanganyikiwa haswa na bado MUZIKI ndo umeanza, si umemsikia Dr. anasema mwaka huu hawana mchezo wamejiandaa
 
Kama umeshindwa kusoma maudhui na malengo ya mkutano wa Mwanza wewe ukavutiwa na tukio moja la kumtambulisha Ester basi uwezo wako uko chini sana.
Mkutano uliandaliwa hata kabla Ester hajajitoa huko kwenu na madhumuni yake ilikuwa kupunguza propaganda za ccm na mgombea wao na wamefanikiwa kwa 150℅ na hilo viongozi wenu wameliona na limewatia hofu. Wewe usiyeelewa na wengine baki hivyo
 
Nimeshangazwa na top management ya chadema kujazana Mwanza kuja kumnadi Ester Bulaya huku hawana uhakika kama watasimamisha mgombea urais ni dalili za kuchanganyikiwa kisiasa. Kwa sasa huwezi jua maudhui ya mikutano ya chadema kama ni kutangaza nia ya urais au kujitambulisha kwa wanachama wao.

Hadi sasa hakuna hata mwanachama mmoja wa chadema aliyeonyesha nia ya kugombea urais tofauti na vyama vya CCM CUF na TLP ambavyo tayari vimeshaanza kupiga jaramba. Kuna tetesi wanazungumza na Lowasa ikishindikana basi hawana namna nyingine zaidi ya kumtangaza Lembeli kuwa mgombea urais kwani Dr. Slaa anakila dalili ataenda kugombea ubunge karatu baada ya mchungaji natse kutamka wazi hagombei tena.

Mkutano wa Mwanza haukuwa na coordination kwani kauli za mbowe na Tundu Lissu zilitofautiana mno, wakati Lissu alishupalia mambo ya ukabila mbowe alitofautiana nae waziwazi.

Povu la nini? Mbona mwenziwe lembeli humtaji au umejitoa ufahamu kutomfahamu kuwa naye alikuwa anakaribishwa?
 
Hata hicho unachodai kumtambulisha Ester Bulaya nayo ni hatua kubwa sana ktk siasa za Tanzania kwani wakibahatika kuchukua hayo majimbo mawili ya Lembeli-Kahama na hilo la Bunda ni mtaji mkubwa sana kisiasa.
Wakiweza kukidhiti bunge kwa kuwa na wabunge wengi hayo ni maandalizi ya kudhibiti dola(serikali) siku moja.
 
Nimeshangazwa na top management ya chadema kujazana Mwanza kuja kumnadi Ester Bulaya huku hawana uhakika kama watasimamisha mgombea urais ni dalili za kuchanganyikiwa kisiasa. Kwa sasa huwezi jua maudhui ya mikutano ya chadema kama ni kutangaza nia ya urais au kujitambulisha kwa wanachama wao.

Hadi sasa hakuna hata mwanachama mmoja wa chadema aliyeonyesha nia ya kugombea urais tofauti na vyama vya CCM CUF na TLP ambavyo tayari vimeshaanza kupiga jaramba. Kuna tetesi wanazungumza na Lowasa ikishindikana basi hawana namna nyingine zaidi ya kumtangaza Lembeli kuwa mgombea urais kwani Dr. Slaa anakila dalili ataenda kugombea ubunge karatu baada ya mchungaji natse kutamka wazi hagombei tena.

Mkutano wa Mwanza haukuwa na coordination kwani kauli za mbowe na Tundu Lissu zilitofautiana mno, wakati Lissu alishupalia mambo ya ukabila mbowe alitofautiana nae waziwazi.

Tulia wewe Oxygen iingie vizuri,MTU unapumulia Machine hakafu unaruka ruka.

Kama Raisi wa Nchi alifunga Safari Mpaka Dodoma kwenda kuwapokea Mamluki waliotimuliwa Chamani,namaanisha Juliana Shonza na Mtela Mwampamba Sembuse kupokea Wabunge Making walioamua kujiunga na Jeshi la Ukombozi
 
Last edited by a moderator:
Nimeshangazwa na top management ya chadema kujazana Mwanza kuja kumnadi Ester Bulaya huku hawana uhakika kama watasimamisha mgombea urais ni dalili za kuchanganyikiwa kisiasa. Kwa sasa huwezi jua maudhui ya mikutano ya chadema kama ni kutangaza nia ya urais au kujitambulisha kwa wanachama wao.

Hadi sasa hakuna hata mwanachama mmoja wa chadema aliyeonyesha nia ya kugombea urais tofauti na vyama vya CCM CUF na TLP ambavyo tayari vimeshaanza kupiga jaramba. Kuna tetesi wanazungumza na Lowasa ikishindikana basi hawana namna nyingine zaidi ya kumtangaza Lembeli kuwa mgombea urais kwani Dr. Slaa anakila dalili ataenda kugombea ubunge karatu baada ya mchungaji natse kutamka wazi hagombei tena.

Mkutano wa Mwanza haukuwa na coordination kwani kauli za mbowe na Tundu Lissu zilitofautiana mno, wakati Lissu alishupalia mambo ya ukabila mbowe alitofautiana nae waziwazi.

Wewe unalalamika wakati huku wenzako wanatafuta kura za kupitishwa kugombea Ubunge kwa stahili ya kipekee kabisa na ya aibu kuliko zooote, una wanavyochekwa.

DSC_1022.JPG

DSC_1006.JPG
 
Hata hilo goli la mkono la jamaa yetu lazima lifungwe kwa uangalifu mkubwa, vinginevyo inaweza kusababisha zahma kubwa mno kama hawa hapa watagundua kuna ukanjanja wa refa na makamisaa wa mchezo!!

attachment.php
 
Back
Top Bottom