Naona Ester kamfata rafiki yake Halima!
Nabadooooo
Naona Ester kamfata rafiki yake Halima!
UKAWA imekufa? katika mkutano huu silisikii neno hili
Wakiongea sera mtasema wanafanya kampeni.Mimi naona wanatukana CCM
sijasikia Sera za cdm mpaka
sasa sijajua nani kabeba vision
ya Cdm maana wanaongea randomly
hakuna mwenye maono ya chama kwenye
mkutano wa leo, daaaa hatareeee!!
Naona Ester kamfata rafiki yake Halima!
Sio campaign.
Wakiongea sera mtasema wanafanya kampeni.
Chadema badala ya kueleza kitawafanyia nini watanzania wanaeleza Dr.Magufuli kawanyima mahindi wasukuma.
Maghufuli ndiye rais na majimbo mwanza yanarudi wao wasahau tuu
Mkuu umemsikia prof Safari kule mwanza.huyu rais wako unaetaka kwenda kumuapisha kishakutwa na hatia ya kutoa kutoa rushwa,ila kwa Kuwa wewe ni miongoni mwa watanzania wasiojipenda na kupenda nchi Yao basi endelea na magufuliKaanzie Moshi na Arusha, sisi wa Kanda ya Ziwa tumeishamaliza kazi yetu tunasubiri kwenda Dar kumuapisha Magufuli kama rais wa awamu ya tano,
Kuna Jaji gani anakaa vichochoroni?
Naona Ester kamfata rafiki yake Halima!
Chadema badala ya kueleza kitawafanyia nini watanzania wanaeleza Dr.Magufuli kawanyima mahindi wasukuma.
kwahio walikusanya kwa madhumuni gani?