Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,538
- 2,156
Aisee! Tuwe wakweli, endapo atapita Magufuli Ukawa kazi itakuwa ngumu zaidi. Huyu ndiye mtu anakubalika ktk sisiemu na pia upinzani, Halima Mdee mwenyewe analijua hilo, anamwitaga Magufuli Jembe.
Yule mmama Amina ni kitendawili hamna anayemjua na Migiro tunajua madudu yake!
Hujamjua mkwere vizuri. Subiri wapige chini Magufuri mpewe rozi ndo mkome.