Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia 27 - 29 Novemba, 2023

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,398
3,907
📌📌 UIMARA WA CHAMA NI VIKAO, UIMARA WA CHAMA NI TAARIFA, SASA TUNAWAPA TAARIFA RASMI

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia Tarehe 27 - 29 Novemba, 2023 .

Kuanza na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Sekretarieti ya CCM Taifa ikiongozwa na Katibu Mkuu Ndg. Daniel Chongolo.

Mafunzo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa Kikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pia Kikiongozwa na Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
 
📌📌 UIMARA WA CHAMA NI VIKAO, UIMARA WA CHAMA NI TAARIFA, SASA TUNAWAPA TAARIFA RASMI

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia Tarehe 27 - 29 Novemba, 2023 .

#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
Ccmsio chama Cha siasa, bali ni kikundi Cha Dola kilichojivika koti la chama Cha siasa.
 
#CHAWAWAMAKONDA.
ulitamalaki sana humu enzi za mwendazake makonda amerejea na wewe umerejea.!!
 
📌📌 UIMARA WA CHAMA NI VIKAO, UIMARA WA CHAMA NI TAARIFA, SASA TUNAWAPA TAARIFA RASMI

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia Tarehe 27 - 29 Novemba, 2023 .

#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
Lazima vifanyike,coz Kuna fukuta huko ndani!!

Majibu tunataka kwa maswali haya:-

1.Dr mpango yuko wapi!!?

2.Gekul anachukuliwa hatua Gani!!?

3.Chama kinachukua hatua ipi kwa wabadhirifu Kila Kona wanaoripotiwa!!?
 
Sawa ila kumbuka hivi sio kama vile vikao vya watu sita..mbowe na watu wake wawili na Lissu na watu wake.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Embu malizeni kwanza hili la Paulina..
Hakuna habari nyingine wananchi wanahitaji sikia.
Hii haikuanza kwa Gekul, ccm Ina laaana ya watanzania. Miaka ya 70,RC wa iringa Dr kleruu, alimvamia mkulima mmoja nyumbani kwake, akimuuliza kwanini alimi mashamba ya ujamaa, RC akatoa matusi Sana, Yule mkulima, Mzee Mwamwendi, akachukia akampiga risasi na kumuua RC kreluu, akachukua mwili wake akaupeleka polisi, akawaambia "mbwa wenu,yupo kwenye gari"Mwaka 94,RC mstaafu wa Dar Ditopile mzuzuri, alimpiga risasi dereva wa daladala na kumuua, baada ya kuchomekewa tu, yule RC alifia guest house kifo cha kutatanisha,
Siasa ndani ya ccm, ukiwa na cheo, unakuwa tishio kweli kweli, haya anayofanya Makonda ya kupigia watumishi wa umma cm, akiwataka wa toe maelekezo, sio bahati mbaya, anajua mfumo wa chama dola unaruhusu!
 
UIMARA WA CHAMA NI VIKAO, UIMARA WA CHAMA NI TAARIFA, SASA TUNAWAPA TAARIFA RASMI

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia Tarehe 27 - 29 Novemba, 2023 .

#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
UIMARA WA VIKAO VYA CCM SIO KUOGOPA KATIBA MPYA
KWANI KATIBA NI MALI YA WATANZANIA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom