Rais Samia aongoza vikao vya uongozi wa CCM ngazi ya Taifa leo Julai, 09,2023 jijini Dodoma

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu.

Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa kilichotanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Leo, Julai 09,2023 katika Ukumbi Wa (White House) Jijini Dodoma

IMG_5638.jpeg
IMG_5643.jpeg
View attachment IMG_5642.jpeg
IMG_5640.jpeg
IMG_5641.jpeg
 
Kiitifaki huko CCM kupoje?

KM ni mzito kwa M/kiti Msaidizi?

Chongolo yupo kakaa karibu na Samia, fofauti na alivyopaswa.
 
Siku hizi anajiendea tu kwa kuangalia ratiba iliyopo mbele yake, hata hajali usahihi wa kile anachokwenda kufanya kwenye hizo ratiba zake, anapuyanga.
 
Nasubiri tamko la CCM kuhusu Bandari.
Nawajua CCM Kwa diversion, utashangaa shwaa!! CCM imeiagiza Serikali.
 
Back
Top Bottom