TeamLowassa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 1,495
- 936
Nafikiri sasa mnaweza tulia siyo?
Hahahahaha....swadakta!
Nafikiri sasa mnaweza tulia siyo?
naic wilaya na mikoa mipya iliyotangazwa na kayanza juz pia imetoa wajumbe.ukijumlisha hizo kura zote unapata karibia 2600 na tumeambiwa wajumbe wapo 2400 na kidogo swali je mpk wenyewe wanajiibia kura?
Mkijihusisha na Magufuli tunamkata pia...nyie mmeshapigwa chini katulieni.
Amina aliomba kura za EL hamjampa?
DK MIGIRO 702
AMINA.SALUM.ALI ..349
Hizo ni matokeo ya kura za jana officially mtaletewa soon
All the best John P Magufuli
...
Mkuu, kwa tume hii hii ya ccm? Ni ngumu kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindanoWildCard,
Naona umeishampitisha kabisa Dr.Magufuli, vipi UKAWA hawawezi kuchukuwa dola na kuunda cabinet.
Amini ndugu. Na huyu anaweza kurudi Magogoni.
mbona hujaeleza za Amina na Asha-Rose (am aye naye kwa mjibu wako ni mtu wake)?Yeah, ndivyo imekuwa!
Katika tano bora alikuja na watu wake watatu. Kaja na Membe (mtu wake), akaja na Asha Migiro (mtu wake) akaja na January Makamba (mtu wake). Amina Salum Ali (uzanzibari) na John Magufuli aliwekwe kiboya kiboya tu!
TeamLowassa tukafanya yetu pale Halmashauri kuu!
Tukala kichwa cha membe teh teh ............. kura 120
Tukala kichwa cha january teh teh ............ kura 124
Tukampaisha John Magufuli ........kura 290
Tukaenda pale Mkutano mkuu, nako tukafanya yetu!
Tumempaisha John Joseph Pombe Magufuli!
Hii si timu ya kupimia kwa kijiko.....utaumia!