Lissu ni mwanasheria kanjanja. Anachanganya siasa na Sheria.
Wanafunika funika siwasomi kila jambo tuwaachie vyombo vinavyohusika
Siku moja utajitambua na kuacha kutumika na wanasiasa.
Wapi naweza kupata audio au video ya ripoti iliyosomwa bungeni dodoma kuhusu escrow nikadownload? youtube naona vipande tu.
upo best wa mmu?!kula tano
Umekuwa wabaridi kama kondoo aliyechukuliwa na mafuriko.
Kwa hatua hii iliyofikiwa nahisi kama wale wabunge kama yule aliesema Ashiki Majinuni na yule mama wa jana aliekuwa anawaponda wenzake akajisahau kama hoja ile ilikuwa ni ya PAC wanaona noma kwa sasaBi kiroboto yupo kwenye mood nzuri sana na kuchekacheka huku ni ishara njema tuombe Mungu
Fuatilia hoja ya awali inayomtambulisha kuwa Zitto ni CHADEMA.
Nyie wasomali mpo kwenye nafasi gani.
Bi mkubwa[MENTION] FaizaFoxy[/MENTION] wapi mkuu, Maambo yamehorojeka
ESCROW imehoroja mbwembwe zote za watuhumiwa na maazimio yanapita sasa.
Unadhani kumwajibisha mtu ni jambo dogo?
Wanafunika funika siwasomi kila jambo tuwaachie vyombo vinavyohusika
Kanywe viroba weweTupe list ya wabunge wataochangia leo,kama ni type za yule mama mwalimu wa mbagala mama manual niendelee kukata mkaa tu huku porini.
Alifukuzwa lini? Yuko bungeni kwa chama gani? Turudi kwanza kwenye PAC