Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

Najitambua sana mie siyo kama wewe punguani, ndio sababu michango yangu siku zote ni kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania. Wewe mpumbavu Buku 7 na tonge mbili za ubwabwa zinakutoa akili na kuamua kuisaliti nchi yako na Watanzania wenzio 45 millioni. Pumbaf mkubwa wee, Mxciuuuuuu.

Achana naye, leo ni mwendo wa kujipongeza sana.Yaani wadanganyika tumeshinda.Wale rafiki zangu wa buku 7, lazima watapata mashinikizo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa hatua hii iliyofikiwa nahisi kama wale wabunge kama yule aliesema Ashiki Majinuni na yule mama wa jana aliekuwa anawaponda wenzake akajisahau kama hoja ile ilikuwa ni ya PAC wanaona noma kwa sasa

sana mkuu, nimeamini hakuna kitu kizuri kama kuweka akiba ya maneno na Bi Kiroboto kasema lazima Leo hichi kibuyu Cha Escrow kivunjwe
 
@ Elli Zitto mwenyewe ameshiriki kikao cha UKAWA kwa mara ya kwanza jana. Na hilo amekiri kuwa yuko kwenye mgogoro na CHADEMA.
 
Huu uzi wa Magazetini ni kiboko nadhani ni uzi wa wiki huu kwa jinsi unavyofuatiliwa kwa ukaribu, umeme hapa jijini Mwanza ndio unarudi
 
Last edited by a moderator:
Tujiandae kisaikolojia kuwa wasira anaweza kuwa raisi..


Haaaaahaaaa Haaaaahaaaa mkuu .. unatuonya tuweke sawa mind zetu kabisa lol
hebu tujiandae hata katika hili mpk mamlaka husika watakapo fanya kazi yao.
 
Back
Top Bottom