Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

Najitambua sana mie siyo kama wewe punguani, ndio sababu michango yangu siku zote ni kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania. Wewe mpumbavu Buku 7 na tonge mbili za ubwabwa zinakutoa akili na kuamua kuisaliti nchi yako na Watanzania wenzio 45 millioni. Pumbaf mkubwa wee, Mxciuuuuuu.

Siku moja utajitambua na kuacha kutumika na wanasiasa.
 
Bi kiroboto yupo kwenye mood nzuri sana na kuchekacheka huku ni ishara njema tuombe Mungu
Kwa hatua hii iliyofikiwa nahisi kama wale wabunge kama yule aliesema Ashiki Majinuni na yule mama wa jana aliekuwa anawaponda wenzake akajisahau kama hoja ile ilikuwa ni ya PAC wanaona noma kwa sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom