Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

duuhh.. tunafika mbali simsikii faidhafox lol

hata Wassira ameshindwa kutetea hili na yeye kasimamia wapi?

hakika nimeona usawa ktk hili kweli sasa maslahi ya taifa yametangulizwa..
 
Wadau kuchangia mjadala huu jamii forum pekee haitoshi kwanini msiandamane barabarani tujue huo uchungu mlio nao.Hii kauli ya Amani na Upendo imetufanya Watanzania tuwe mazuzu hasa, issue kama hii ingekuwa nchi kama Misri nazani mpaka sasa tungeongea mengine.
Sijakuelewa hapo kwenye red
 
Kilichonifurahisha mimi ni kua hata viongozi wakuu wa nchi hii wamesema FEDHA NI YA UMMA.
 
Bado hakuna wa kuondoka, hapa kuna kichaka kwa sababu wakishachunguza mambo yanaenda mahakamani. Hivyo huenda wakaondoka baada ya kufikishwa mahakamani. Hawa waliogawana pesa kwa viloba, sandarusi na lumbesa naona watapona.

So painful aiseee dah
 
I'm so worried kuwa mapendekezo yote ya Bunge hayatafanyiwa kazi kwani vyombo vya utekelezaji ni Mahakama, TAKUKURU, DPP, BOT, TRA ... VYombo vyote hivyo vinangozwa na WATEULE wa RAIS!!! Kamati ilitakiwa kujikita kwenye UWAJIBIKAJI WA KISIASA.... Pinda, Werema, Muhongo, Anna Tibaijuka, Masele Waachie Ngazi...
 
Back
Top Bottom