Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

jamani tueleweshane hapa ina maana bunge na serikali automatically wameridhia kua fedha za escrow ni za umma,so hapa wanafikia maadhimio ya uhalali wa kuwatia hatiani wahusika wa hii ishu nzima.tuwekane sawa hapa .

Walicho kubaliana kwenye mapendekezo ni kuwa kuna uwezekano mkubwa kwenye Escrow account kuna pesa ya Umma ndio maana wanataka uchunguzi ufanywe zaidi! kifupi kuna pesa ya Umma
 
jamani tueleweshane hapa ina maana bunge na serikali automatically wameridhia kua fedha za escrow ni za umma,so hapa wanafikia maadhimio ya uhalali wa kuwatia hatiani wahusika wa hii ishu nzima.tuwekane sawa hapa ( tahadhari kama una kichwa cha lusinde usinijibu).

Kama ulimsikiliza Wasira na Mwandosya ndio kauli rasmi ya Serikali. Pesa ni za umma na wahusika wote washughurikiwe.
 
jamani tueleweshane hapa ina maana bunge na serikali automatically wameridhia kua fedha za escrow ni za umma,so hapa wanafikia maadhimio ya uhalali wa kuwatia hatiani wahusika wa hii ishu nzima.tuwekane sawa hapa ( tahadhari kama una kichwa cha lusinde usinijibu).

Wanakubali kiaina...
 
Bi mkubwa[MENTION] FaizaFoxy[/MENTION] wapi mkuu, Maambo yamehorojeka

ESCROW imehoroja mbwembwe zote za watuhumiwa na maazimio yanapita sasa.
 
Hebu tufanye summary ya mapendekezo matatu, vipi kuna dalili ya mtu kuondoka???
Bado hakuna wa kuondoka, hapa kuna kichaka kwa sababu wakishachunguza mambo yanaenda mahakamani. Hivyo huenda wakaondoka baada ya kufikishwa mahakamani. Hawa waliogawana pesa kwa viloba, sandarusi na lumbesa naona watapona.
 
Back
Top Bottom