Kificho Elimu ni Form six pia anadiploma
Sadifa anasema ana Masters ya Sheria.
Matusi haya
Elimu ndogo, kuwaongoza wasomi waliojaa hapo kwenye bunge
Sasa utaki?
Mbona hujawasikiliza wengine?Huyu Magdalena nadhan anafaa kwa waliojitokeza
Sadifa amejiondoa
chama chake ni chademahuyu mama anafaa hana chama cha siasa
Kificho anaonekana anajiamini sana
mwenyekiti wa muda mana yake nn?
chama chake ni chadema