Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

Mbatia hajarudisha fom! Mshindi ni Profesa Mahalu tu!

Off course Mahalu anaonekana kama ndiye mtu atakayekuwa bora zaidi!! Lakini hawezi kuwa ni chaguo la CCM...... refer his previous case!! Hapa CCM wanataka kuwapa wazenji ili wajikaange wenyewe kwa mafuta yao!! Tatizo Zenji hawajaishtukia hiyo!!
 
Mama Luena ni mkiti wa bodi ya The Foundation for Civil Society, ED wa Gatsby Trust
 
yaani huyu kificho ni kilaza zaidi ya makinda jamani,
eti kuna mtu anauliza utafurahia kura yake, huyo ni mbunge wa jamuhuri ya muungano mh musa adji kombo. kweri ccm wendawazimu
 
MCHOMA BAHATI 3.jpg
===>Chonde chonde wasije wakafanya haya kama ya huyu muuungwana!
 
Mipasho imeanza. Hakuna kitu Bunge la Katiba. Ni uhuni mtupu. Isitoshe wanapendekeza mtu ambaye hana kumbukumbu na maswali wanayomuuliza hayana maana kabisa.
Dalili ya mvua.....
Kwa wanaotaka Katiba ya wananchi kubalianeni tu na Mzee Mwanakijiji, sibirini miaka ijayo na sio mchakato huu.

 
Back
Top Bottom