YAH . WARAKA WA PROPASAL (POSA) KATI YA MR. BAGAH Vs MISS. VIVIAN .

Rejao Kongosho anaoja jukwaa la siasa kama kambi ya jeshi...kasema hakanyagi tena...amekomaa kabsaaa adhabu ya juzi imemtosha....kahamia jukwaa la matangazo madogo madogo
Kule kuna wenyewe...jukwaa lile hutakiwi uwe lege lege! Naona Kongosho alishindwa kujua chakufanya ukiwa kule..
 
Hahahahaha! Kule sipiti mpaka uchaguzi wa arumeru upite manake siwezi kujizuia! Kongosho labda!
Hahahaaaa ngoma kesho ukipiota lazma ban ikuhusu maana kuna watu watakuwa na hasira za hatari....
Kama kawaida saa 9 ndani ya USA kuhesabu kura.....na ntakuwa online Jukwaa la siasa mwanzo mwisho wenye wivu wajiju...hasa.....Rejao na Cantalisia
 
Kule kuna wenyewe...jukwaa lile hutakiwi uwe lege lege! Naona Kongosho alishindwa kujua chakufanya ukiwa kule..
Halafu kama unataka updates za leo Arumeru hebu muone Sweetlady ana breaking News
 
Hahahaaaa aisee nimeenjoije.....
Ungeniambia tungekuchukua...
Kwa kweli hope uliniona kwa mbali coz nilikuwa full kuanzia chini hadi juu ni mwendo wa Rangi ya chama(CDM)....
Heri Dogo Janja kuliko Kubwa Jinga.....
Hahahaaaaaa rahaaaaa
Aisee ni full raha asikwambie mtu, nilitamani masaa yasimame tuendelee kuwepo!

Nilikuona umependeza sana, ila ulikuwa mbali nami wakati tuko USA, nilikupoteza tulivyohamia patandi lol... We si uliuona ule umati pale?.. NMC mara 10!
 
yaani ungejua hata nilichosema nikaungua ungeshangaa sana.

It was nothing kabisa, sijui tu.
Labda siku hiyo alikuwa kwenye bad mood tu.

Kule kuna wenyewe...jukwaa lile hutakiwi uwe lege lege! Naona Kongosho alishindwa kujua chakufanya ukiwa kule..
 
twende basi tukagombanie kule.

Kuna raha yake.
Nendeni tu maana tuna hamu sana ya Maziwa Fresh coz Arumeru kulikuwa na vumbi sana....
Mtaenda kule mkiwa Kongosho na Rejao then mtarudi mmeshakuwa Maziwa ya Mgando...
Hahahaaaaaaaa lol
 
Hahahaaaa ngoma kesho ukipiota lazma ban ikuhusu maana kuna watu watakuwa na hasira za hatari....
Kama kawaida saa 9 ndani ya USA kuhesabu kura.....na ntakuwa online Jukwaa la siasa mwanzo mwisho wenye wivu wajiju...hasa.....Rejao na Cantalisia
Hahahaha! Mie kesho nasikilizia home Erick, sitoi mguu mpaka matokeo yatangazwe! All the best, nakutegemea kutuletea report live!
 
Aisee ni full raha asikwambie mtu, nilitamani masaa yasimame tuendelee kuwepo!

Nilikuona umependeza sana, ila ulikuwa mbali nami wakati tuko USA, nilikupoteza tulivyohamia patandi lol... We si uliuona ule umati pale?.. NMC mara 10!
Haahaaa unajua kilichoniacha hoi ni nini?
Ile reverse ya helicopta....
Hahahaa ilikuwa mpya sana kwangu lol
Nilistaajabu sana.....
"Heri dogo Janja kuliko Kubwa Jinga"
 
Halafu kama unataka updates za leo Arumeru hebu muone Sweetlady ana breaking News
Tatizo la Arumeru wachofahamu ni kijani tu! Kila kitu wanachotumia ni kijani! Vijana yale majani wanayoyatafuna yayotoka kenya nayo ni kijani pia!
So kesho CCM inashinda kwa kishindo!!!!
 
Erick na Badili Tabia.

Nawafungia efu jei kwa siku 25.4
sababu: kuniambia niende jukwaa la utambulisho na matangazo madogo madogo
 
he he he, tutarudi kama insulin na upanda west(rejao)

Nendeni tu maana tuna hamu sana ya Maziwa Fresh coz Arumeru kulikuwa na vumbi sana....
Mtaenda kule mkiwa Kongosho na Rejao then mtarudi mmeshakuwa Maziwa ya Mgando...
Hahahaaaaaaaa lol
 
Tatizo la Arumeru wachofahamu ni kijani tu! Kila kitu wanachotumia ni kijani! Vijana yale majani wanayoyatafuna yayotoka kenya nayo ni kijani pia!
So kesho CCM inashinda kwa kishindo!!!!
Hahahaaaa hilo sahau.....
Unacheza na helicopta kurudi kinyume nyume?
Wee acha chezeya Chadema....
Na kwa taarifa yako kesho zitakuwa mbili....full patrol kila kituo hadi kieleweke....
 
Back
Top Bottom