YAH . WARAKA WA PROPASAL (POSA) KATI YA MR. BAGAH Vs MISS. VIVIAN .

Erick na Badili Tabia.

Nawafungia efu jei kwa siku 25.4
sababu: kuniambia niende jukwaa la utambulisho na matangazo madogo madogo
Hata hivyo nahisi Invisible alikuonea huruma akatoa msamaha baada ya kuona vilio vya watu....
Ila aliyekudunga ban hana huruma....nilidhan angeiacha ya Bunsen Burner...Lol baada ya kugundua ni yako akaila kichwa faster...lol
Sujui mmekula sahani moja mahali....
 
Tukiwa wawili kule ndio kunanoga.....njoo plssss! Kongosho hataki kutia pua kabisa kule!!!!
Nimegundua kumbe hunipendi Rejao! Siendi walah tena!

Nikitaka kwenda nalog off naingia kama guest, sichangii kabisa!
 
Hahahaha! Mie kesho nasikilizia home Erick, sitoi mguu mpaka matokeo yatangazwe! All the best, nakutegemea kutuletea report live!
Dah usijali...
Hapa hakosi mtu....
siunajua tena..
Ila natafakari sijui nibebe kindoo cha maji cha litre 10 maana najua ile kitu ya machozi na kuwasha itakuwa ya kumwaga....
 
Haahaaa unajua kilichoniacha hoi ni nini?
Ile reverse ya helicopta....
Hahahaa ilikuwa mpya sana kwangu lol
Nilistaajabu sana.....
"Heri dogo Janja kuliko Kubwa Jinga"
Hahaha! Hukuwepo ile siku ya ufunguzi eeh? Nilionea pale pia nilistaajabu sana lol, chopa inapiga reverse hewani daah!
 
ukinilima ban jitaenda pale magogoni na bango langu.....nitamwomba mnene anisappoti tuone kana itadumu hata masaa mawili

Erick na Badili Tabia.

Nawafungia efu jei kwa siku 25.4
sababu: kuniambia niende jukwaa la utambulisho na matangazo madogo madogo
 
Dah usijali...
Hapa hakosi mtu....
siunajua tena..
Ila natafakari sijui nibebe kindoo cha maji cha litre 10 maana najua ile kitu ya machozi na kuwasha itakuwa ya kumwaga....
Hahahahaha! Lita 10 zitatosha kweli? Police from ccp washamwagwa wa kutosha, uliona wamepiga mpaka hema?..kesho ole wao wajichanganye zitatiwa kiberiti wakose pa kulala lol..

Beba lita 20, zikikuishia unanipigia naleta zingine fasta!
 
Hahahaaaa
Yan sipati picha ngoma itakuwaje aisee maana lol
Watu wamechoka sana aisee....
Kama kawaida naanzia City Park nakula zangu kuku mzima na trupa nusu nakuwa tayari nishakuwa na nguvu za kukimbia toka USA River hadi town in case of anything....yan ni kama nimejaza mafuta full tank
 
Back
Top Bottom