YAH . WARAKA WA PROPASAL (POSA) KATI YA MR. BAGAH Vs MISS. VIVIAN .

Shem acha basi mzahamzaha, hii maneno it's very serious !
Mi najua unafanya mas'hara na Bagah bt,
mimi nimeacha shughuli zangu kwa shughuli hii, kama semegi wangu nakuhitaji fanya makeke yako uniletee Vivy hapa bifoo machweo sijui wanaitaga mawio sina hakika ipi ni ya wapi !
Labda niseme bifoo mpambazuko.
JG unajua huyu madame ndoa yake imekaa vibaya ngoja nilete ushahidi tika kwa Nitty
 
kwa cv hii, lazima 'mtoto' aingie line.....



1. KAZI?----Anasimamia Public toilet
2. UNA USAFIRI/KIPANDO?----Anamiliki bajaji kama ya Preta
3. TEMBO CARD MASTER CARD?----Ana Simba Card ingawa zamani alikuwa na ya Yanga
4.UNATUMIA DAWA YA PEEENZI?----Hatumii kwa kuwa hana mpenzi....ndo anamtafuta Vivian
 
Preta
Sweetlady
Smile
Husninyo
Canta
Mwali
Afrodenzi
Dena
Amyner
Kaby
Mpo wapi ? Hebu nitafutieni huko aliko mumlete hapa faster, nimenong'onezwa sijui yuko saluni, mleteni hivyohivyo aje apasue jipu hapa then arudi huko saluni .
Vivian pls !
Kijana wetu BAGAH akilazwa hospitali , kwa ajili ya presha wewe ndiyo utakua sababu .
Hatutakuelewa .

Naomba ukomee hapo hapo. Bagah ni muongo, Bagah nikiwa sipo JF yeye yupo na mwingine, Bagah ni Mura
 
Hahahaaa unajua SL unasema kiutani ila mi nilenda kiukweli..Lol
Ilikuwa raha sana ndani ya Patandi....
Mie nipo serious Erick, umeona tulivyokula vichwa?.. Mwenzio kidogo nikose hice lol sijui ningelala wapi jamani! Ndipo nilipopotelea leo.
 
kabisa, bila kusahau jukwaa la utambulisho, si-ha-sa
zina wenyewe bwana.....
Dah unajua tatizo la siasa linagusa hali na maisha halisi tunayoishi ambayo either yanagusa maisha ya mtu moja kwa moja so lazma tofauti ya kimawazo iwepo na bann kufuatia..Lol
 
Mie nipo serious Erick, umeona tulivyokula vichwa?.. Mwenzio kidogo nikose hice lol sijui ningelala wapi jamani! Ndipo nilipopotelea leo.
Hahahaaaa aisee nimeenjoije.....
Ungeniambia tungekuchukua...
Kwa kweli hope uliniona kwa mbali coz nilikuwa full kuanzia chini hadi juu ni mwendo wa Rangi ya chama(CDM)....
Heri Dogo Janja kuliko Kubwa Jinga.....
Hahahaaaaaa rahaaaaa
 
Shauri yako...
Lile jukwaa linatia hasira sana....unaweza kujikuta unavibrate automatick.......
Bora uvibrate afu yaishie hapo, mapigo ya moyo hubadili mwelekeo kabisa...

Asee kule ni balaa, mie pia palinipatia ban yangu safi enzi za Igunga!
 
Bado tu upo macho?...karibu kwenye jukwaa letu pendwa la siasa..
Mlete Kongosho naye pia
Rejao Kongosho anaoja jukwaa la siasa kama kambi ya jeshi...kasema hakanyagi tena...amekomaa kabsaaa adhabu ya juzi imemtosha....kahamia jukwaa la matangazo madogo madogo
 
Bagah is a player boy. namuogopa
Vivy please....Bagah wa zamani si huyu....amebadilika sana.....niamini mimi shem wangu....
Hana tatizo tena....ni ujana ulikuwa unamsumbua na ameonyesha nia na mabadiliko makubwa sana....
Naomba uniamini mimi kuwa hatakusumbua kwa lolote na utaenjoy sana....
Say yes mumy....
 
Back
Top Bottom