YAH . WARAKA WA PROPASAL (POSA) KATI YA MR. BAGAH Vs MISS. VIVIAN .

@kongosho karibu tena jamvini.
Ukome kwenda majukwaa yasokuhusu! Wasalimie kong's bansen bana na maziwa mgando!

@ Bagah posa imekataliwa,..
 
Tuombe mungu usije ukaulizwa kama una
1. KAZI?
2. UNA USAFIRI/KIPANDO?
3. TEMBO CARD MASTER CARD?
4.UNATUMIA DAWA YA PEEENZI?
______________
OTHERwise best of luck baggah

NOTE: Ukifanikiwa tu namimi napoint humuhumu
 
@kongosho karibu tena jamvini.
Ukome kwenda majukwaa yasokuhusu! Wasalimie kong's bansen bana na maziwa mgando!

@ Bagah posa imekataliwa,..
Wewe kwenda zako....
Kwanza mumeo kaja hapa analalamika kakufuma na mesage kwenye simu toka kwa bishanga na akawatafuta wote tangu asubuhi hukuonekana sasa una jipya tena?
Potea zako ukalinde ndoa kwanza
 
duh, yaani afande alinifananisha na kibaka wakati mie mlokole.

Akanipiga selo bila hata habari.

Nilikumiss pia sana, asante kwa hugz!

Ngoja tuwasaidie hawa watu kudondokeana kwa amani.

Halafu wewe nilikumiss, usirudi tena kule jukwaa la stress, muachie rejao ndo linamfaa.....

Pokea hugs and kisses.........
 
ha ha ha, asante Judgy, tutakutana kwenye kamati ya sherehe hizi.

Huyo unayemuongelea sijuikaenda wapi!
Kongosho usijali hana shida kwa kuwa hata yeye amechoka kukaa lonely kila siku....
Atakuja tu muda si mrefu...
 
duh, yaani afande alinifananisha na kibaka wakati mie mlokole.

Akanipiga selo bila hata habari.

Nilikumiss pia sana, asante kwa hugz!

Ngoja tuwasaidie hawa watu kudondokeana kwa amani.
Hahahaaa Kongosho ni bora uwe unaenda jukwaa la matangazo madogo madogo kuliko la Siasa maana kule yataka moyo sana...otherwise mapolisi watakuona ni kibaka na watakudunga roba la hatari km la juzi
 
Tuombe mungu usije ukaulizwa kama una
1. KAZI?
2. UNA USAFIRI/KIPANDO?
3. TEMBO CARD MASTER CARD?
4.UNATUMIA DAWA YA PEEENZI?
______________
OTHERwise best of luck baggah

NOTE: Ukifanikiwa tu namimi napoint humuhumu
1. KAZI?----Anasimamia Public toilet
2. UNA USAFIRI/KIPANDO?----Anamiliki bajaji kama ya Preta
3. TEMBO CARD MASTER CARD?----Ana Simba Card ingawa zamani alikuwa na ya Yanga
4.UNATUMIA DAWA YA PEEENZI?----Hatumii kwa kuwa hana mpenzi....ndo anamtafuta Vivian
 
wamenifanya pakanivutia.
Sasa nataka kuanza kuwa napiga kambi rasmi kule.

Nimebadili uelekeo.

Hahahaaa Kongosho ni bora uwe unaenda jukwaa la matangazo madogo madogo kuliko la Siasa maana kule yataka moyo sana...otherwise mapolisi watakuona ni kibaka na watakudunga roba la hatari km la juzi
 
wajameni mi napita tu hapa, naweza kutuma salamu?

Kuna watu nimewamiss....
 
Wewe kwenda zako....
Kwanza mumeo kaja hapa analalamika kakufuma na mesage kwenye simu toka kwa bishanga na akawatafuta wote tangu asubuhi hukuonekana sasa una jipya tena?
Potea zako ukalinde ndoa kwanza
Erickb52 yaani toka asubuhi nilikuwa Arumeru mashariki kushirikiana na makamanda kuhitimisha kampeni, hapa ndio naingia home, hayo ya msg wala siyajui kabisa hivyo uache kunizushia!

Mbona hujakuja USA?
 
@kongosho karibu tena jamvini.
Ukome kwenda majukwaa yasokuhusu! Wasalimie kong's bansen bana na maziwa mgando!

@ Bagah posa imekataliwa,..

Shem acha basi mzahamzaha, hii maneno it's very serious !
Mi najua unafanya mas'hara na Bagah bt,
mimi nimeacha shughuli zangu kwa shughuli hii, kama semegi wangu nakuhitaji fanya makeke yako uniletee Vivy hapa bifoo machweo sijui wanaitaga mawio sina hakika ipi ni ya wapi !
Labda niseme bifoo mpambazuko.
 
Shem wacha nimrushe Bagah roho... Tajitahidi kumleta vivy ili roho yako itulie.
 
Pole sana, mgambo wetu ndivyo walivyo......
Hawa unaowasaidia kudondokeana angalia wasiumizane tu.......

duh, yaani afande alinifananisha na kibaka wakati mie mlokole.

Akanipiga selo bila hata habari.

Nilikumiss pia sana, asante kwa hugz!

Ngoja tuwasaidie hawa watu kudondokeana kwa amani.
 
Erickb52 yaani toka asubuhi nilikuwa Arumeru mashariki kushirikiana na makamanda kuhitimisha kampeni, hapa ndio naingia home, hayo ya msg wala siyajui kabisa hivyo uache kunizushia!

Mbona hujakuja USA?
Hahahaaa unajua SL unasema kiutani ila mi nilenda kiukweli..Lol
Ilikuwa raha sana ndani ya Patandi....
 
Back
Top Bottom