YAH . WARAKA WA PROPASAL (POSA) KATI YA MR. BAGAH Vs MISS. VIVIAN .

ha ha ha, asante Judgy, tutakutana kwenye kamati ya sherehe hizi.

Huyo unayemuongelea sijuikaenda wapi!

Huwezi amini !
Ama sadiki ukipenda , furaha yangu ya kukuona hapa!
Nasikia na vijichozi vinavinjari kwa mboni zangu.
Pole mkuu, mukashoo au ndumwa si stahili yako kabisa!
Hata hivyo hembu fanya umPm Mh. Maziwa mgando mnong'oneze atukolezee debe kwa agenda iliyo mezani .
 
Kwa heshima na taadhima kubwa
sisi washenga :-
Judgement
Husninyo (MR & MRS).
ErickB52
Amyner (MR & MRS).
Kwa pamoja tunaichukua fursa ya Thrade hii, kuwasilisha Propasal ya kijana ndugu yetu BAGAH kwako Bi. Vivian wa Jf .
Few hints about BAGAH .
> Kijana wetu amefikia umri wa kupata mwenza.
> Kijana huyu kielemu tumeridhishwa na kiwango chake.
> BAGAH ni mpole, mkarimu, hana majivuno, ni mwenye kujali.
> Ni mwenye kujua wajibu wa majukumu yake .
Aidha ni matarajio yetu Vivian hutotuangusha!
wala hatutegemei utatufedhehesha sisi washenga kwa ujumla wetu.
Tunalisubiri jibu lako la faraja hapa.
Ambavyo tunaamini utatuletea leo leo.
Tunawasilisha.
Nakala - Uongozi Jf.
Nakala- Facebook
Nakala- Twitter

hizi nakala mbona haipo iliyofika home mi dadaake sina taarifa
 
hizi nakala mbona haipo iliyofika home mi dadaake sina taarifa

Ma doudou!
Nimefurahi kutambua uwepo wako hapa .
Maadamu wewe umetia maguu hapa ni dhahiri ndiyo taarifa ishafika .
Kufika ama kuchelewa kwa nakala itakua mambo ya netwk, si unajua mambo ya mitandao ? Nadhani system iko down .
Tunachokuhitaji tuletee hapa nduguyo atumalizie agenda nangoja jibu lako.
 
kuna mtu alikudondokea. Nikutajie?

BT uko kwenye jokes au ? Laweza tokea la kutokea hapa suddenly ukasikia mshereheshaji (Judgement) kaanguka ghafla kakimbizwa Agakhan , kama yule mchezaji Fabrice Muamba wa Bolton wander alivyopoteza! Ohooo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom