Ya CHADEMA, Lowassa, Dr. Mashinji na mgomo wa madaktari mwaka 2012

Mwaka 2012 Watanzania tulishuhudia mgomo mkubwa wa Madaktar kushinikiza Serikali iwalipe mishahara mikubwa na kuwaonyesha Watanzania nguvu kubwa waliyonayo dhidi ya Serikali.
Mgomo huo uliendeshwa kikatili sana na kuleta usumbufu, Mateso yasiyoelezeka na vifo vingi kwa Watanzania wenzetu hasa kina Mama na Watoto.
Serikali wakati huo kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama walikuwa wakihusisha Mgomo huo na Siasa hasa CHADEMA na baadhi ya Makada wa CCM, lakini wengi wetu tuliona kama mbinu ya Serikali kujitetea tu kwa kusingizia CHADEMA na kuukimbia ukweli.
KWA UTEUZI HUU WA Dr MASHINJI, SASA NI WAZI KUWA CHADEMA\Team Lowassa WALIKUWA NYUMA NA CHANZO cha MGOMO WA MADAKTARI.
Madaktali walitumika pasipo kujijua kwa kuingizwa kwenye Mgomo ambao uliowashushia hadhi yao kwa jamii na viongozi wao wachache ambao ni Makada wa CHADEMA na vibaraka wa kundi la walafi wa madaraka ndani ya CCM.
Hongera Dr MASHINJI, pia pole kwa kujivua Mask na kutuonyesha wazi wewe ni nani haswaa!
Nakupa pole zaidi kwa kujiingiza katika siasa kwenye chama cha walioshindwa, vigeugeu, Ma-fisadi.
Siku zote ukumbuke kuwa ujachaguliwa kwa CV yako, ila kwa record yako mbaya ya kuendesha Migomo hivyo jiandae, Pili unatumika tu hawanaga shukrani hao.
mashinji aliondoka muhimbili mwaka 2005... Muwe na facts wakuu
 
Endeleeni Kufanya Uzushi Lakini Ukweli Ni Kwamba CCM Mnatakiwa Kutathmini Upya Mustakhabari Wa Chama Chenu
 
Mgomo ule ndio mafanikio ya Muhimbili na hospitali nyingine kwa sasa kupata vifaa na wananchi kufurahia huduma bora. Ni sawa na wanaoanzisha vita vya ukombozi ambavyo wapo watakao poteza maisha lakini wengi watapata watapata ukombozi.
Kama Dr Vicent alishiriki na kuongoza mapambano yale kwangu mimi ni shujaa maana wapo watanzania wengi sasa wanaokolewa maisha yao kutokana na shinikizo lile ambalo liliwatia vilema na maumivu makubwa baadhi yao akiwemo Dr Ulimboka
mashinji hakushiriki... By then alikua anafanya kazi na university of maryland hakua na muda wala nafasi ya kuwa karibu na akina ulimboka
 
Kinara wa mgomo wa madaktari....
mgomo uliosababisha vifo vya mamia ya wananchi azawadiwa cheo....

??????
Kwikwikwi... Hakuwepo hata muhimbili wala kushiriki mgomo

Actually wao ndio walioombwa kwenda kuprovide cover
 
Mleta mada umeingia shift ya asubihi tena maana Jana mlikuwa wote 46 Na Kiongozi wenu mpaka aliyewaombea mlijipanga mkajua atakuwa zao lenu chadema Ina hazina ya viongozi Wa kutosha Na kama aliongoza mgomo kwa nini ulimboka mkamfanya vile swali hili kamuulize mkuu wako Wa kazi au Yule aliyewaombea mfikiriwe
 
mashinji hakushiriki... By then alikua anafanya kazi na university of maryland hakua na muda wala nafasi ya kuwa karibu na akina ulimboka
Kumbe hawa wahuni wa Lumumba wanamsingizia? Sasa inawasaidia nini?
 
Roho za Watanzania wengi zilizoangamia kutokana na migomo ya madaktari iliyoasisiwa na Mashinji daima zitaendelea kulia katika ardhi hii. Mashinji hatatawala kwa amani
 
Katibu mkuu asiye na Historia ya Siasa zaidi ya Uzoefu wa Migomo..

Kila la kher Dr. Slaa huko uliko..... Bado
utakumbukwa.
Wewe si ndiye ulikuwa mstari wa mbele kumdhalilisha Dr. Slaa kuwa sio muadilifu kapora mke wa mtu? Hapa unamkumbuka kwa lipi hasa? Utaolewa...
 
Roho za Watanzania wengi zilizoangamia kutokana na migomo ya madaktari iliyoasisiwa na Mashinji daima zitaendelea kulia katika ardhi hii. Mashinji hatatawala kwa amani
Roho za wamama wajawazito ambao mpaka muda huu nna reply hapa wanawndelea kufa kwa kukosa huduma bora za afya zikiwemo zahanati na gari za kubebea wagonjwa lakini Ccm waliona kununua magari 779 ya washawasha ni bora ziadi, zitawalilia mpaka siku ya kiama.
 
Uwezo wako wa kufikiria ni wa chini mno mkuu, na zaidi ni wakishetwani. Acha madaktari washiriki kwenye siasa za nchi, kwa miaka mingi wamekuwa kimya, ndiyo maana mainginia wamekuwa wengi kwenye siasa. Basi nao wasemee.
 
Mwaka 2012 Watanzania tulishuhudia mgomo mkubwa wa Madaktar kushinikiza Serikali iwalipe mishahara mikubwa na kuwaonyesha Watanzania nguvu kubwa waliyonayo dhidi ya Serikali.
Mgomo huo uliendeshwa kikatili sana na kuleta usumbufu, Mateso yasiyoelezeka na vifo vingi kwa Watanzania wenzetu hasa kina Mama na Watoto.
Serikali wakati huo kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama walikuwa wakihusisha Mgomo huo na Siasa hasa CHADEMA na baadhi ya Makada wa CCM, lakini wengi wetu tuliona kama mbinu ya Serikali kujitetea tu kwa kusingizia CHADEMA na kuukimbia ukweli.
KWA UTEUZI HUU WA Dr MASHINJI, SASA NI WAZI KUWA CHADEMA\Team Lowassa WALIKUWA NYUMA NA CHANZO cha MGOMO WA MADAKTARI.
Madaktali walitumika pasipo kujijua kwa kuingizwa kwenye Mgomo ambao uliowashushia hadhi yao kwa jamii na viongozi wao wachache ambao ni Makada wa CHADEMA na vibaraka wa kundi la walafi wa madaraka ndani ya CCM.
Hongera Dr MASHINJI, pia pole kwa kujivua Mask na kutuonyesha wazi wewe ni nani haswaa!
Nakupa pole zaidi kwa kujiingiza katika siasa kwenye chama cha walioshindwa, vigeugeu, Ma-fisadi.
Siku zote ukumbuke kuwa ujachaguliwa kwa CV yako, ila kwa record yako mbaya ya kuendesha Migomo hivyo jiandae, Pili unatumika tu hawanaga shukrani hao.
Usiwakumbushe watu ya Ulimboka kijana,
 
Back
Top Bottom