Baada ya kuona wanasiasa wanapata pesa nyingi sana, ni kama wahadhiri wa vyuo wako kwenye mgomo

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
901
1,333
Hii siyo Hali ya kawaida kabisa. Huu ni mgomo wa wazi. Haiwezekani shahada za uzamivu na uzamili zitolewe kama kalanga hivi as if wameona liwalo na liwe tuwape tu mana hata tukijituma kufundisha no appreciation.

Hata akina Oscar eti nao wamepata shahada hizo sijui kwa akili gani na alisomaje wakati daily ni kuandika umbea na kutangangaza kibangi bangi tu.

Wanasiasa nao au Makati waku nao wanazo na zimemwagwa kama njugu mpaka wengine wanajisifu kupata gpa ya 4.5 sijui huo mda wa kusoma waliupa wapi.

Chonde chonde serikali muwaangalie wahadhiri muwaboreshee maslahi nchi inazidi kupotea kuwa na wasomi fake waliojaza vyeti tu ndani.
 
Hata Akina osca eti nao Wamepata shahada hizo sijui kwa Akili Gani na alisomaje wakati daily ni kuandika umbea na kutangangaza kibangi bangi tu.

Aaah kumbe
 
Kwanini unamchkia mtu bila sababu?

Nchi za Afrika (Kusini mwa jangwa la Sahara) ni Maskini kwa sababu tunaendekeza majungu hadi maofisini. saa za kazi tunawaza mapenzi, usengenyaji na namna ya kukwamisha watu tu. Tofauti Na wenzetu wahindi, wachina na Wamarekani hawana upumbavu wa kuchukia Watu bila sababu.
 
Udsm na Udom wananyemelea teuzi.
 
Aliyesoma na asiyesoma hakuna tofauti. Ndiyo maana majoho yanagawanywa kwa kila mtu. Bila ya kumuona Oscar akiwa amevaa joho, ni kwa vipi unaweza kumtambua kuwa ana masters??

Jibu ni kuwa huwezi kumtambua. Hana hoja, hana maarifa Wala hana weledi ktk kazi yake ambavyo vingemfanya kuonekana ni msomi.
 
Hii siyo Hali ya kawaida kabisa. Huu ni mgomo wa wazi. Haiwezekani shahada za uzamivu na uzamili zitolewe kama kalanga hivi as if wameona liwalo na liwe tuwape tu mana hata tukijituma kufundisha no appreciation.

Hata akina Oscar eti nao wamepata shahada hizo sijui kwa akili gani na alisomaje wakati daily ni kuandika umbea na kutangangaza kibangi bangi tu.

Wanasiasa nao au Makati waku nao wanazo na zimemwagwa kama njugu mpaka wengine wanajisifu kupata gpa ya 4.5 sijui huo mda wa kusoma waliupa wapi.

Chonde chonde serikali muwaangalie wahadhiri muwaboreshee maslahi nchi inazidi kupotea kuwa na wasomi fake waliojaza vyeti tu ndani.
Karanga, Oscar kapata Masters siyo PhD, CCM imeharibu mfumo mzima wa elimu umekuwa wa kijinga haswa
 
Hii siyo Hali ya kawaida kabisa. Huu ni mgomo wa wazi. Haiwezekani shahada za uzamivu na uzamili zitolewe kama kalanga hivi as if wameona liwalo na liwe tuwape tu mana hata tukijituma kufundisha no appreciation.

Hata akina Oscar eti nao wamepata shahada hizo sijui kwa akili gani na alisomaje wakati daily ni kuandika umbea na kutangangaza kibangi bangi tu.

Wanasiasa nao au Makati waku nao wanazo na zimemwagwa kama njugu mpaka wengine wanajisifu kupata gpa ya 4.5 sijui huo mda wa kusoma waliupa wapi.

Chonde chonde serikali muwaangalie wahadhiri muwaboreshee maslahi nchi inazidi kupotea kuwa na wasomi fake waliojaza vyeti tu ndani.
Ni bora sasa Shahada ziwekwe sokoni tu kila mwenye pesa akanunue shahada yake!
 
inapaswa kila kada igome sasa, walimu, madaktari, maengineer, wahadhiri nk ili nao walipwe kama wanasiasa.

Wanasiasa nchi hii wanachezea sana hela za wananchi na wanakwenda mbali zaidi, wanakula hela mpaka za donors..

tunahitaji mshikamano, kama wote tumekubaliana nchi masikini na tuko kwenye kipindi cha kuijenga basi wanasiasa nao walipwe kama wengine na iitwe kazi ya wito.
 
Hii siyo Hali ya kawaida kabisa. Huu ni mgomo wa wazi. Haiwezekani shahada za uzamivu na uzamili zitolewe kama kalanga hivi as if wameona liwalo na liwe tuwape tu mana hata tukijituma kufundisha no appreciation.

Hata akina Oscar eti nao wamepata shahada hizo sijui kwa akili gani na alisomaje wakati daily ni kuandika umbea na kutangangaza kibangi bangi tu.

Wanasiasa nao au Makati waku nao wanazo na zimemwagwa kama njugu mpaka wengine wanajisifu kupata gpa ya 4.5 sijui huo mda wa kusoma waliupa wapi.

Chonde chonde serikali muwaangalie wahadhiri muwaboreshee maslahi nchi inazidi kupotea kuwa na wasomi fake waliojaza vyeti tu ndani.
Hahahahah mfumo wetu wa Elimu ulishaharibiwa kitambo na Mwl Nyerere. Pamoja na kutuunganisha ila Mwl Nyerere alikosea sana tena sana kudhani suala la elimu pia lilihitaji kupata uhuru au uchumi kudhani kuwa ilihitaji uhuru, yaani Mwl hakuwa mchumi alijenga tabaka la watanzania wenye kupata elimu ya binaadamu tulitokana na nyani tukabadilika kuwa binaadamu. Kwa ufupi mfumo wa elimu wa UK tulipaswa kuendelea nao, tulipaswa kuwaacha baadhi ya watawala wa kizungu waendelee kuwepo, sisi tulitakiwa tuwe na uhuru wa kura na kuform majority government ila elimu na uchumi vilipaswa vibaki na UK. Kwa hiyo Mwl kwenye uchumi na elimu anapata zero kabisa ila kwenye umoja ni A
 
Kwanini unamchkia mtu bila sababu?

Nchi za Afrika (Kusini mwa jangwa la Sahara) ni Maskini kwa sababu tunaendekeza majungu hadi maofisini. saa za kazi tunawaza mapenzi, usengenyaji na namna ya kukwamisha watu tu. Tofauti Na wenzetu wahindi, wachina na Wamarekani hawana upumbavu wa kuchukia Watu bila sababu.
Ukweli ndio chuki mkuu? Lakini sawa manake ningekuona mtu wa tofauti sana kama ungekubali Ukweli.
 
Back
Top Bottom