iyengamuliro
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 819
- 366
Tunakuwa wagumu kuelewa hata majipu yanayo tumbuliwa ndiyo yale madaktari walikuwa wanayafania mgomo.Mfano ni ubovu wa Mashine ya TC Scan na uboreshaji wa huduma za Mahospitalini.Sasa kosa lao ni nini?.Watu makini hujadili inshu na wasiomakini hujadili watu kama wewe.Kinara wa mgomo wa madaktari....
mgomo uliosababisha vifo vya mamia ya wananchi azawadiwa cheo....
??????