Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,236
Zion Daughter........
Naam.....Asante kwa uongo wako shemeji.....
Zion Daughter........
gut, danke hahahahaha lassen Sie Verwendung Flucht aus Ban bin sicher, es gibt keine Moderatoren verstehen diese!!!bleiben gesegnetVielen gluck! hahahahaha wie gehts?
Naam.....Asante kwa uongo wako shemeji.....
shairi lataka matao kuliimba kwa kituo
papara si lake tuo lataka imbwa kwa kikao
tulia takutungia uliimbe kila uchao
hutolichoka shairi ukijua zake kingo.
Hujanibembeleza kirahisi hivyo jibu swali langu halafu ndo tuendelee
pacha umetishaje?..tulioko kwenye darasa lako tunafaidi mengi aisee...
Mbona nishakujibu my dear wife au unataka nikukiss na kukukiss na kukukiss
shairi lataka matao kuliimba kwa kituo
papara si lake tuo lataka imbwa kwa kikao
tulia takutungia uliimbe kila uchao
hutolichoka shairi ukijua zake kingo.
pacha umetishaje?..tulioko kwenye darasa lako tunafaidi mengi aisee...
na chilau mewawa!usengwile!
umeona eeh?hatujakosea hata kidogo
hahahahhhha na kweli ni nyie tu mlio kwenye darasa langu ndo mmeelewa shairi langu si unajua wanafunzi humjua kwa sauti mwalimu wao!ananananhhahahahhahahhahha vipi monitor wangu kuna nafasi darasani au limejaa nina application nyingi unajua?ila Asprin nahisi atapigana .ila mpango mzima tutauweka sawa kwenye mnuso mtambuzi pub.
hahaha! Asishike yeye pesa... Huyo dawa yake ndogo tu! Muite mkuu wa Ulinzi Kongosho ama msaidizi wake Rejao ndio kiboko yake!
hahaha! Basi chagua watatu kati ya EMT, Young Master, Ndahani, Kiranga, Bigirita or jmushi1
Taratiiiibu jamani Patozoom... Haya mambo yanaenda kwa maelewano.. au awe Asprin ndio utakubali?
Hili hata mimi jipya kabisaaa.... Salamu basi kwa Sakapal with love... Namuonea huruma jamiif alikuwa so in love na wewe! Lol
Smile sijamuona gfsonwin... Hivi umenionea wapi huyu mdogo wangu? :biggrin: