>x< > x < > Happy Birthday Mtambuzi < > x < > x <

happy birthday Mtambuzi.Mungu akuzidishie siku na uendelee na kazi nzuri ya kuelimisha jamii
 
Last edited by a moderator:
nipo my shemeji, namkandakanda hubby na kumbembeleza tuje, kaiba mke wa mtu jamvini, anaogopa kujitokeza hapa, lol!

nashangaa Asprin huku huyu aibe mke wa mtu ? hebu ninong'oneze shemeji......khaaa au kapewa kichapo? aje na manundu shereheni?
 
Last edited by a moderator:
Braza sidhani kama Kaizer anaweza kuleta mchezo wa kurushiana mawe wakati yeye mwenyewe nyumba yake ya vioo..

Kiongozi SnowBall we unamsikiliza Mr Rocky? huyo lengo lake anichafue tu basi hana jingine.....mii nimeulzia kwa nia njema kabisa. Kijana wangu ukiona ona kwen sherehe nishtue nifanye mambo ,, sakapal yuko wapi?

halafu kumbe jamiif ni mwanadada mimi mbona sikumwona akienda kwen ukaguzi wa mzee Asprin?
 
Last edited by a moderator:
happy birthday Mtambuzi,
MOLA AKUZIDISHIE MBINGUNI NA DUNIANI
UPATE ZAKE REHEMA MOYONI HATA MACHONI
UDUMU MWENYE UPENDO NA FURAHA IWE YAKINI
TWAJIFUNZA KWAKO MENGI MAISHA NA MAPENZINI
MOLA AKUZIDISHIE MBINGUNI NA DUNIANI.
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi SnowBall we unamsikiliza Mr Rocky? huyo lengo lake anichafue tu basi hana jingine.....mii nimeulzia kwa nia njema kabisa. Kijana wangu ukiona ona kwen sherehe nishtue nifanye mambo ,, sakapal yuko wapi?

halafu kumbe jamiif ni mwanadada mimi mbona sikumwona akienda kwen ukaguzi wa mzee Asprin?

Ndugu yangu Kaizer hata mimi nimeshindwa kushangaa kwa nini [MENTION]Mr Rock[/MENTION] kakutemea cheche...By the way my dear sakapal nadhani atakuwa anachungulia kwa mbaliii..Kusema kweli hii habari ya jamiif na mimi ndiyo nimeisikia kwa mkeo AshaDii ..any ways ngoja aje afunguke mwenyewe!!..Ntakushtua mkuu wangu manake najua tunaatend darasa moja la magwiji gfsonwin na snowhite hivyo mambo ya practicals muhimu aiseee..
 
Last edited by a moderator:
we sashadii wewe hahahahahahaha!!!!asante kwa kunionea huruma mwaya..lol...
hahaha! Asishike yeye pesa... Huyo dawa yake ndogo tu! Muite mkuu wa Ulinzi Kongosho ama msaidizi wake Rejao ndio kiboko yake!

hahaha! Basi chagua watatu kati ya EMT, Young Master, Ndahani, Kiranga, Bigirita or jmushi1

Taratiiiibu jamani Patozoom... Haya mambo yanaenda kwa maelewano.. au awe Asprin ndio utakubali?

Hili hata mimi jipya kabisaaa.... Salamu basi kwa Sakapal with love... Namuonea huruma jamiif alikuwa so in love na wewe! Lol

Smile sijamuona gfsonwin... Hivi umenionea wapi huyu mdogo wangu? :biggrin:
 
Kiongozi SnowBall we unamsikiliza Mr Rocky? huyo lengo lake anichafue tu basi hana jingine.....mii nimeulzia kwa nia njema kabisa. Kijana wangu ukiona ona kwen sherehe nishtue nifanye mambo ,, sakapal yuko wapi?

halafu kumbe jamiif ni mwanadada mimi mbona sikumwona akienda kwen ukaguzi wa mzee Asprin?

am right here:high5:, my dearest SnowBall ndo kaniamsha.
 
shakebutt.gif
HAHAHAHAHAH,
KIKWETU TUNASEMA HIVI
ALLES GUTE ZUM GEBURTSTAG MEIN BRUDER
 
Back
Top Bottom