>x< > x < > Happy Birthday Mtambuzi < > x < > x <

Wewe shauri zako utabakia tu hawaniwezi!!..wakati mwenzio keshamaliza mambo..Mjini Mipango bana ([MENTION]lara 1[/MENTION] 2012)...mwenzio sakapal anajitafunia kiulaiini kama vile kula maini gizani..lol ...what a couple?? sakapal na SnowBall ...tena hii mechi pacha wangu snowhite itabidi utulie tuli..wewe jilie vyako taratiibu!!uliona wapi dada akachagua wifi bana???...
Mi hawaniwezi wewe thubutu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
utakuja kusikia stori tu...ukiona manyoya.....lol.....
Wewe shauri zako utabakia tu hawaniwezi!!..wakati mwenzio keshamaliza mambo..Mjini Mipango bana (lara 1 2012)...mwenzio sakapal anajitafunia kiulaiini kama vile kula maini gizani..lol ...what a couple?? sakapal na SnowBall ...tena hii mechi pacha wangu snowhite itabidi utulie tuli..wewe jilie vyako taratiibu!!uliona wapi dada akachagua wifi bana???...
 
nakushukuru mpenz wangu kwa mapenz yako mahabat habatik naogelea tuu kama samaki baharini raha ninayoipata siwaambii watu wasije waka......... bureeeee. Njoo tule raha heartbeat wangu SnowBall :hug: as maisha ni kuenjoy lol

''kupendwa ndio huku kupendwa kuheshimiwa, ooooooh moyo inaona raha, raha kama nini, kwake sipati karahaa, huyu wangu ......
nitadumu nae kwa nguvu za maanani, walochongaaa, tunakomaaa nao na wachongeee kimpango wao......''
 
wifi twende nyumbani wifi twende nyumbani
wifi yangu karibu sana karibu sana hapa ndio nyumbani kwetu karibu sana
wifi yangu wa gharama wa gharama hapa ndipo nyumbani kwetu karibu sana!*3
 
Wewe shauri zako utabakia tu hawaniwezi!!..wakati mwenzio keshamaliza mambo..Mjini Mipango bana (lara 1 2012)...mwenzio sakapal anajitafunia kiulaiini kama vile kula maini gizani..lol ...what a couple?? sakapal na SnowBall ...tena hii mechi pacha wangu snowhite itabidi utulie tuli..wewe jilie vyako taratiibu!!uliona wapi dada akachagua wifi bana???...

ah mi naanzaje kukunyima raha yako kakangu mpenzi uliniachia ziwa a.k.a my pacha!nata upate shida kwani!mtoto mantashau kama sakapal pana chezeya pacha wa mimi kwenye uchaguzi bana!
wenye wivu wajinyonge sana wenye wivu wajinyoonge
wenye wivu wajinyonge sna enh wenye wivu wajinyongee! FP pamoja na kwamba upo kwenye anniversary na maandalizi yake njoo huku kaka yangu pacha aliyeniachia ziwa kwa mama yetu katuletea wifi!kitu cha ukweli wacha maskhara!
 
lu lululuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, bwela bwela, bwela bwela dadaaaaaaaaaaaa.
karibu sana wifi yake mlongo wangu kwa pacha wake SnowBall
 
Last edited by a moderator:
wifi twende nyumbani wifi twende nyumbani
wifi yangu karibu sana karibu sana hapa ndio nyumbani kwetu karibu sana
wifi yangu wa gharama wa gharama hapa ndipo nyumbani kwetu karibu sana!*3

asante sana wifi kwa kunipokea kwa shangwe na vifijo na nderemo na vigelegele. Nimefarijika na ile dhana ya watu wanosema oooh mawifi wakorofi watakuwa na yao mambo. Mie na wifi yangu snowhite mambo bambam. Kwa jinsi nilivofurahia mapokezi ya wifi haya ni mazawadi yako especialy for u.

http://di109.shopping.com/images/di...e94e34b6&a=1&c=1&l=8071320&t=121009094855&r=2

http://ep.yimg.com/ca/I/yhst-64566192079858_2226_9713003

shim.gif
shim.gif
 
Back
Top Bottom