>x< > x < > Happy Birthday Mtambuzi < > x < > x <

Wamenisahau lkn nakuja kwa ndege ya jion na mimi nataka wasaidz kwa kamati yangu. AshaDii mimi kamati yangu ni ya ile kitu ya Arusha kiitwacho KANTUCHE, haiitaji sahani au kikombe, yaitwa 'sativa cannabis'. Happy birthday DR. Mtambuzi.
 
Last edited by a moderator:
pacha umetishaje?..tulioko kwenye darasa lako tunafaidi mengi aisee...

hahahahhhha na kweli ni nyie tu mlio kwenye darasa langu ndo mmeelewa shairi langu si unajua wanafunzi humjua kwa sauti mwalimu wao!ananananhhahahahhahahhahha vipi monitor wangu kuna nafasi darasani au limejaa nina application nyingi unajua?ila Asprin nahisi atapigana .ila mpango mzima tutauweka sawa kwenye mnuso mtambuzi pub.
 
Mwalimu wangu samahani usisahau kuvaa kama vile ulivyovaa siku ile hadi Kaizer na Asprin wakashindwa kukoconcentrate!...raha ya darasa uwe na mwalimu anayejua kutupia...
 
Last edited by a moderator:
hahaha! Asishike yeye pesa... Huyo dawa yake ndogo tu! Muite mkuu wa Ulinzi Kongosho ama msaidizi wake Rejao ndio kiboko yake!

hahaha! Basi chagua watatu kati ya EMT, Young Master, Ndahani, Kiranga, Bigirita or jmushi1

Taratiiiibu jamani Patozoom... Haya mambo yanaenda kwa maelewano.. au awe Asprin ndio utakubali?

Hili hata mimi jipya kabisaaa.... Salamu basi kwa Sakapal with love... Namuonea huruma jamiif alikuwa so in love na wewe! Lol

Smile sijamuona gfsonwin... Hivi umenionea wapi huyu mdogo wangu? :biggrin:

naona Rejao anafaa zaidi kwa kazi hiyo kuliko yoyote mwingine
 
Mwalimu wangu samahani usisahau kuvaa kama vile ulivyovaa siku ile hadi Kaizer na Asprin wakashindwa kukoconcentrate!...raha ya darasa uwe na mwalimu anayejua kutupia...

leo ntatupia short pensi ya kitenge,kijikoti cha kitenge pia cha uchokozi juu,ndani ntakuwa na top moja kali,chini nitakuwa na simple ya purple na kajicheni flani hivi.kichwani ni dreads fupi kiasi,make up kwa mbaali na wallet ya kitenge pia!ahahhahahhahha Kaizer bia haitashuka na Asprin ndo atakuwa anahudumia meza yangu mwanzo mwisho wala hatabanduka hapo anajua mwalimu huwa anapenda kufundisha vipindi vya jioni!ahahahhahhahhahhhhahah wapi gfsonwin tugawane darasa manake nahs kama litanilemea vile dk 80 si mchezo ati,af double weh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom