>x< > x < > Happy Birthday Mtambuzi < > x < > x <

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,076
... Mtambuzi ...

ukiwa sio tu kama moja ya kaka na rafiki yangu hapa jamvini bali pia kama
mmoja wa member ambae huwa nafurahia uwepo wake kwa mada mbali mbali na mijadala
ya hapa na pale ambayo huwa tunabahatika kukutana katika jamvi...
Naomba nichukue nafasi hii kukupongeza kwa siku yako hii ya kuzaliwa
huku nikiomba na fellow members kuniunga mkono katika hili.

Inaweza isiwe much by throwing a thread, but walau it is one of a way ya
ku acknowledge kuwa you are really appreciated here na kuwa tupo pamoja na wewe
katika siku yako hii hata kama ni kijamvi jamvi... Lol.

Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Neema,
Akubariki na kukuneemesha wewe pamoja na familia yako na pia
kukupa maisha marefu yenye baraka na furaha tele...

:A S-rose: :A S-rose: :A S-rose:..."Happy Birthday Mtambuzi"....:A S-rose: :A S-rose: :A S-rose:



Pamoja Saana,

AshaDii.
 
Last edited by a moderator:
Kamati kuu ya hii sherehe itasimamiwa na wifi zangu wapendwa... Sijajua nani atakuwa mbabe wao kati ya sweetlady, King'asti na Dena Amsi...

Chakula kama kawaida tunawaomba sana akina FirstLady1, Mwali, Keren_Happuch, Madame B, MadameX bila kumsahau mdogo wangu mpendwa gfsonwin.... (Jamani kama wageni ni wengi ongezeni orodha chakula kiwe cha maana! Lol)

Mapambo naomba asikosekane afrodenzi ambae atakuwa na assistants kama Smile, Kaunga, Kipipi, Cantalisia na wengine bado wanahitajika.

Mr Rocky naomba usaidiane na platozoom, Erickb52, BAGAH, nitonye, Judgement na Vin Diesel kwa ajiri ya usafiri. Msimsahau Boflo jamani...

Music tunaomba ushirikiano wa Preta, Apollo, mtu chake, Azimio Jipya na Saint Ivuga.

Burudani ya kuleta wasanii... SnowBall, obsesd na Zion Daughter , Snowwhite msituangushe basi... Nasikia Roulette kaahidi kuwa ataimba akimshirikisha The Boss na Nyani Ngabu! (sio ya kukosa!)

Kamati ya vinywaji hii naomba nimuachie baba watoto Kaizer ataje mwenyewe! Lol.
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday mukubwa......lakini sasa hapo kwenye muziki munene.....kuna mtu nimepangwa nae na nimemnunia..... AshaDii.....huwezi kunibadilisha ukaniweka sehemu nyingine?......naogopa kuharibu sherehe........
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday mukubwa......lakini sasa hapo kwenye muziki munene.....kuna mtu nimepangwa nae na nimemnunia..... AshaDii.....huwezi kunibadilisha ukaniweka sehemu nyingine?......naogopa kuharibu sherehe........

Preta vibaya hivo... Lol. Msamehe bureee bana! Muoneshe kuwa wala hujali kufanya nae kazi, ikishindikana basi wewe ndio uchague au sio dear?
 
HAPPY BIRTHDAY MTAMBUZI
LEO NI FULL
shakebutt.gif
 
Happy birthday mkuu wa UNUNIO, nakutakakia ijumaa nyingine nyingi za kutuburudisha na kutuelimisha! Usijali mapambo tunaweka theme ya miaka ya ujana wako ili uweze kuvuta hisia zaidi ya matukio mengi zaidi.

HBD Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye Maakuli kama tungeongezewa mwanaume mmoja ili awe anatufokeafokea jikoni pindi tunapotaka kudokoa Nyama au Kipaja cha kuku AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Kamati ya vinywaji hii naomba nimuachie baba watoto Kaizer ataje mwenyewe! Lol.

Huu ni upendeleo wa wazi kabisa na haikubaliki kwa viwango vyovyote vile........Kila mtu hapa Jukwaani anajua eksipiriensi yangu kwenye masuala ya vinywaji .......haiwezekani mtu atoke from no wea aje apate nafasi adhim kama hii na wakongwe tupo kisa muandaaji wa sherehe ana pasono interesti na mchaguliwaji.

Narudia haiwezekani na patachimbika period!
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom