SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,054
- 2,840
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Mtambuzi.
:gossip Umetimiza miaka mingapi? ) Hivi kumbe na wewe ulizaliwa?
nipo my shemeji, namkandakanda hubby na kumbembeleza tuje, kaiba mke wa mtu jamvini, anaogopa kujitokeza hapa, lol!
Braza sidhani kama Kaizer anaweza kuleta mchezo wa kurushiana mawe wakati yeye mwenyewe nyumba yake ya vioo..
Young Master nimekupigia debe aisee kuna wadada wanataka mwanaume wa kwafokea fokea jikoni wakiongozwa na Madame B unoanaje? Boflo amepita bila kupingwa hahahahHa ha haaaa!!! Wewe una matatizo kweli...kwani unadhani aliibuka tu kutoka uchochoroni?
Kiongozi SnowBall we unamsikiliza Mr Rocky? huyo lengo lake anichafue tu basi hana jingine.....mii nimeulzia kwa nia njema kabisa. Kijana wangu ukiona ona kwen sherehe nishtue nifanye mambo ,, sakapal yuko wapi?
halafu kumbe jamiif ni mwanadada mimi mbona sikumwona akienda kwen ukaguzi wa mzee Asprin?
hahaha! Asishike yeye pesa... Huyo dawa yake ndogo tu! Muite mkuu wa Ulinzi Kongosho ama msaidizi wake Rejao ndio kiboko yake!
hahaha! Basi chagua watatu kati ya EMT, Young Master, Ndahani, Kiranga, Bigirita or jmushi1
Taratiiiibu jamani Patozoom... Haya mambo yanaenda kwa maelewano.. au awe Asprin ndio utakubali?
Hili hata mimi jipya kabisaaa.... Salamu basi kwa Sakapal with love... Namuonea huruma jamiif alikuwa so in love na wewe! Lol
Smile sijamuona gfsonwin... Hivi umenionea wapi huyu mdogo wangu? :biggrin:
Young Master nimekupigia debe aisee kuna wadada wanataka mwanaume wa kwafokea fokea jikoni wakiongozwa na Madame B unoanaje? Boflo amepita bila kupingwa hahahah