Women...........!

kwani wakati nakuoa nilikwambia nakuoa kwa ajili ya chakula cha usiku tuu,hujui kuwa wengine wanaoa ili wafuliwe,wapikiwe sasa ukianza kumwambia ayafanye hayo utakuwa unamkosea.

mkuu, ina maana unataka ufuliwe, usafishiwe viatu, upikiwe, ubembelezewe mtoto na upigiwe pasi. plus chakula cha usiku. halafu ww unamfanyia nn mkeo? plz usimfanye mkeo aone maisha ya ndoa ni tabu na utumwa bwana.
 
Ndio maana nikakueleza nidhamu hujengwa, mwanamke akikupelekapeleka it means wewe ni dhaifu you can't handle your affairs period!

sasa hapo ndipo linapokuja tatizo,unamlazimisha kufanya kazi zako,afu akifanya unamuona dahifu,akikataa unasema hakupendi na anakukandamiza.
 
Kuna jamaa yangu amekamuliwa mahari milioni moja na laki mbili za Tshs. Unadhani hii kitu haina bearing na namna hawa waoanaji watakuwa wakihusiana???

hapo ndo anapiga na muhuri kabisa kuwa akija huku ni kazi kwa kwenda mbele.
 
Si tu kwamba ana matatizo bali si mwanaume kabisa, avalishwe baibui na kanga.

kimsingi sijaona mahali katika uzi huu ambapo imesemwa kuwa mwanaume ameshindwa majukumu yake,kinachosemwa hapa ni majukumu ya mke katika ndoa na kutaka mjukumu hayo wagawane ana mume,nadhani nimesomeka.
 
hapo kwenye red: siku zote mkuu ndio kila kitu na msaidizi anakuwa msaidizi tu, kwa hio kila mtu afanye jukumu lake, lini uliona Kikwete anamwachia Bilali kuapisha viongozi? Au naibu waziri anawajibika kwa kazi ya waziri?

kama nimeshindwa kukonekti na mada hii.....
 
mkuu, ina maana unataka ufuliwe, usafishiwe viatu, upikiwe, ubembelezewe mtoto na upigiwe pasi. plus chakula cha usiku. halafu ww unamfanyia nn mkeo? plz usimfanye mkeo aone maisha ya ndoa ni tabu na utumwa bwana.

hayo yote uliyoyasema ndio ninayotaka anifanyie kwasababu hayo ndo majukumu yake,kwani wakati anakubali kuolewa hakujua kuwa atatakiwa kufanya mambo hayo?
 
jamani kiukweli inakeera,kama ikiwezekana watu turudie maadili yetu na siyo mambo ya kizungu

wazungu walishajiona wamekosea sana na ndo maana wanataka kutuaribu na sisi
 
Siku mtakapoacha kudai 50/50 sharing of bills na ndio sio siku tutafikiria kuwapikia 3 x a day na kuwafulia.
Siku hizi wanawake wavivu sana ndo maana wanaota vitambi tu yahani kazi zote ni mahouse girl sasa wao kazi yao kubwa ni kuhudhuria sherehe tu na vicheni part. Wanawake wamesahau wajibu wao ndo maana ndoa nyingi siku hizi hazina mashiko hasa hizi za wasomi.
 
Wewe Unakumbuka majukumu yako lakini? If so, all is good....
 
Hawafanyi ivyo sababu nao wanachoka na kazi za kazin km wanavyochoka wanaume. Afu pia hawez fanya kaz zote sababu anamsadia mwanaume kutimiza wajibu wake( kulisha familia).
 
Siku hizi wanawake hawapiki kupika ni kazi ya house girls na ndo hao hao mahouse gals wanashea wanaume na wake zao
 
Back
Top Bottom