Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Kujipendekeza kwingine kunatia kinyaa
William J. Malecela
‎@ HoMe sweet home!... Wallahi this is the really Bongo, ha! ha! ha! happy to be back to the Original I looove it and thanks be to my God kwa kunifikisha salama bin usalimini! ha! ha! ha! ha! Just need a lot of REST you know! ha! ha!
- My many thaanks to Mh. Nape Nnauye, Omar Kimbau, Kinje Mwiru + Rachel Michael, Da Judy, Atieno P Gidss, + Verna Mutungi, + Samweli Malecela + My Super Mom Mh. Anne Kilango, I mean sina cha kuwalipa kwa utu na ukarimu wenu toka nimetua hapa Bongo, I am humbled na MBARIKIWE na MUNGU WAMBINGUNIs! - Le Baharia Mutuz William!
Source: Nape FB wall
Sijui ndo maanadalizi ya kukitoa Kibajaj pale jimboni yanaanza???
No longer @New York lol
watu wa mtera wanasema hapana kutawaliwa na ukoo wa malecela. Endeleeni kuuzunguka mbuyu
i would vote for William kuliko yule kibajaji hakuna anachofanya
No longer @New York lol
watu wa mtera wanasema hapana kutawaliwa na ukoo wa malecela. Endeleeni kuuzunguka mbuyu
Acha maneno...tushajadiliana mika 6 sasa- People thaanks a lot wote mbarikiwe mlichangia, I mean jana nimemamliza shuguli zangu Paris na Zurich, sasa naelekea Madrid nitakwua pale one day and then nitakwenda London na Rome, na Friday nitaruka kurudi Bongo.
- Well, tuonane bongo tujadili taifa letu, kuhusu kugombea uongozi sijaamua lakini baada ya kujionea mwenyewe hali ya bongo ndio tutaamua kama tutajitosa ama vipi, Otherwise ninawashukuru wote wka michango yenu na ushauri mzito sana, WOTE MBARIKIWE SANA NA MUNGU WA MBINGUNI!
Le Baharia Mutuz: Big Shooow!