Wlliam J Malecela: Kachukue Dodoma Mjini 2015

Status
Not open for further replies.
Thaanks people nipo Paris sasa en route to Zurich, hapa nipo Waziri Maghembe tunakula JF nawashukuru sana, nipo hapa Europe kutembelea nchi Nne na next week nitakwua bongo, hope tutaonana huko wana JF+

Respect1

Le Baharia Mutuz+

Umefata nini urope mkuu??huoni huruma kujirusha na hela za maskini watanzania???
 
We kaaga huko AGWE! Huku hospitali ya mkoa madaktari wamegoma, na madawa hakunaga
 
Thaanks people nipo Paris sasa en route to Zurich, hapa nipo Waziri Maghembe tunakula JF nawashukuru sana, nipo hapa Europe kutembelea nchi Nne na next week nitakwua bongo, hope tutaonana huko wana JF+

Respect1

Le Baharia Mutuz+

Kama kweli unawapenda wananchi wa Dodoma, ukifika Bongo fikia Tandare au Manzese maana ndipo wanakoishi WanaDodoma. Sasa ole wako ukajichimbie Oysterbay au Masaki!
 
316444_2385989848381_1209820481_32959751_2885080_n.jpg
Enough with blah blah za JFHuyu ni kaka yetu, kamanda wetu, kijana mwenzetu na pia ni mwenzetu na pia tunajua misimamo yake ambayo ninaweza ni progressive.Kwa wanaomjua William watakuambia kuwa ni kiongozi toka enzi zake alipokuwa baharia na waliokaa naye beach watakuwambia unlike watoto wa wakubwa wengine William hana majivuno (sifa kubwa ya wanasiasa wetu siku hizi) na sioni sababu kwa nini asiweze not only kuwa mbunge wa mji mkuu kama Dodoma.Anakubaliaka, ni mtu wa watu na tayari constituency kubwa ya Dododma mjini naamini watamkubali. Na bila kusahau kuwa ni Cabinet materia so sioni kwa nini asirudi nyumbani na aendelee kumkoma nyani gilabuWilliam Samuel Malecela, Dodoma Mjini wants you, but your country NEEDS YOU more!

Mkuu huyu ni wewe kabisaaa??umezaliwa mwaka gani mbona kama unazeeka haraka??punguza pombe na umalaya baba!
 
huyu bwana akiwa mbunge na waziri, basi tujue tumekwisha. Are these our political elites? Ndio maana madaktari na ma-engineer sasa wanagombania ubunge, maana siasi imekuwa ya kila mtu, hata kichaa mwenye hela anaweza kuukwaa urais bongo! This is utter rubbish! I would openly campaign against him!
 
so far hakuna aliyeleta sababu za msingi kwa nini william asiwe mbunge wa Dom mjini

Tusisahau kuwa huyu william ameokoka na ni mlokole wa kwenda mbele sasa hii ni dalili nzuri kuwa hatotuibia
 
Masa ni-inbox tena yr cell we need to talk bro, mwendo ndio huu sasa mdundo mkuu wangu, either sasa or never+

Le Baharia+

Kiukweli watu wa Dom,tunakuhitaji.Ila gombea kupitia CHADEMA, coz kila aingiaye CCM hata kama ni mzurije,hubadilishwa na system ya CCM.Hatutafanya kosa tena 2015
 
Thaanks people nipo Paris sasa en route to Zurich, hapa nipo Waziri Maghembe tunakula JF nawashukuru sana, nipo hapa Europe kutembelea nchi Nne na next week nitakwua bongo, hope tutaonana huko wana JF+

Respect1

Le Baharia Mutuz+
Mzee wa Sauti nene, ukifika bongo tuonane bro.
 
Mbona tunapenda upuuzi!!
Ana nini, amewahi kufanya nii? kwa sababu tu baba yake alikuwa mkubwa? hicho siyo kigezo Kina malechela walipata ukubwa sio kwa sababu walikuwa na akili sana basi tu kipindi kile nchi hii haikuwa na wasomi, mwalimu alikuwa anachukua tu mtu yeyote alie soma hata kama alikuwa na tabia za kizembe(simlaumu mwalimu).
Lakini ukitaka kuamini hilo wamefanya nini kuikomboa nchi hii na dhiki ya uongozi mbovu unaotukabili kwa sasa, mfumuko wa bei, ufisadi, naupumbavu mwingine.....?!

Hana chochote, tusiishi kwa kubahatisha ....Dodoma wako vijana wengi tu wasomi na wenye upeo na uchungu wa kweli na nchi hii na wamejipigania kusoma kwa juhudi zao na wazazi wao masikini na walipa kodi wa nchi hii......
siyo watu waliyobebwabebwa tu hadi kufika mamtoni!
 
hivi kumbe kila mtu ni mwanasiasa??aisee au tunaambukizwa na baba na mama zetu wa kambo??nyie jamaa mnadumisha madharau kwa nchi yetu!

Na mimi ndo nashanga, siku hizi kila anayehisi anaweza kuongoza anaenda anataka ubunge. Ka unakuwa na uwezo wa kweli kwa nini usitafute kazi kwenye shirika lolote la serikali ambalo linasuasua uliongeze in +ve way!!
 
so far hakuna aliyeleta sababu za msingi kwa nini william asiwe mbunge wa Dom mjini

Tusisahau kuwa huyu william ameokoka na ni mlokole wa kwenda mbele sasa hii ni dalili nzuri kuwa hatotuibia

Nani ameokoka???kwiii kwi teh teh!acheni kudanganya watu'tumemwona kule facebok akiwaeleza wafuasi wake jinsi alivyo enjoy night club na mipombe ya kimarekani'usituletee uzushi hapa
 
Nani ameokoka???kwiii kwi teh teh!acheni kudanganya watu'tumemwona kule facebok akiwaeleza wafuasi wake jinsi alivyo enjoy night club na mipombe ya kimarekani'usituletee uzushi hapa
Kweli William aliokoka

unless karudi kwene ukafiri lakini nijuavyo jamaa aliokoka
 
so far hakuna aliyeleta sababu za msingi kwa nini william asiwe mbunge wa Dom mjini

Tusisahau kuwa huyu william ameokoka na ni mlokole wa kwenda mbele sasa hii ni dalili nzuri kuwa hatotuibia

Sababu kuu ambazo zinamwondolea sifa ya kuchaguliwa kuwa hata Mwenyekit wa Kijiji ni: Ya kwanza ni SHAROBARO, ya pili anabebwa bebwa na Dingi yake, ya tatu ni Mtanzania Mixture!

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom