Wlliam J Malecela: Kachukue Dodoma Mjini 2015

Status
Not open for further replies.
Sababu kuu ambazo zinamwondolea sifa ya kuchaguliwa kuwa hata Mwenyekit wa Kijiji ni: Ya kwanza ni SHAROBARO, ya pili anabebwa bebwa na Dingi yake, ya tatu ni Mtanzania Mixture!



Naomba utupe ufafanuzi kwenye sababu ya kwanza na ya mwisho
 
316444_2385989848381_1209820481_32959751_2885080_n.jpg


Mtu mwenyewe anaonekana SHAROBARO! Hivi anaweza hata kuandamana huyu!
Hivi kuwa mwanasiasa ni lazima kuandamana?
 
Acheni roho mbay muacheni akagombee banaa.. anatimiza haki yake ya kikatiba na la muhimu ana exposure kubwa...baba kachukue jimbo hilo..go go go Will.
 
Mzee wa @New York, USA

Bakia huko huko Tanzania is not a Monarchy state

He should be warned that the legacy left by his name in Dodoma and its environs leaves a lot to be desired!! As long as Mzee Ndejembi is alive any body carrying that name will never win in IDODOMYA!!
 
Kweli William aliokoka

unless karudi kwene ukafiri lakini nijuavyo jamaa aliokoka

toka hapa na uongo wako. Kama wewe ni friend wake wa FB jaribu kufatilia post zake ndio uongee.
Kitu @le baharia mutuz ni sooo!
 
huyu jamaa ni moja wa JF founder lakini ni Founder anayesusa kitu alichoshiriki kuanzisha sometimes! Sijui Magamba wamempin!!
 
Anatabia ya kuikosoa Magamba live ila anakaakaa nao karibu wata mpollunate huyu. Lakini honestly he is very positive sio kama watoto wa vigogo wengine
 
Mkuu huyu ni wewe kabisaaa??umezaliwa mwaka gani mbona kama unazeeka haraka??punguza pombe na umalaya baba!
matusi haya kamanda, haina sababu kabisa kwenye hii thread, toa basi na wewe picha yako kama unaweza
 
Kwa ufupi namfahamu ana nia, mwerevu na uthubutu wa maamuzi. Ni viongozi wachache wa aina yake wanao hitajika Tz ya leo. just wait and see!
 
sikuwa na mpango ku log in jf ila nimelazimika baada yakukuona mkuu ktk kusudio hili. Rudi nyumbani, ikiwa unapenda mabadiliko basi ni wajibu wako kuwa sehemu ya mabadiliko hayo
 
haijui dodoma huyu, hafai, apewe uko uko marekan awe balozi si watapewa tu dadi ake akimuombea ila uku hataeza kusaidia wanaudhulumiwa viwanja na CDA wala wanao ish nyumba za tembe.
 
Acheni roho mbay muacheni akagombee banaa.. anatimiza haki yake ya kikatiba na la muhimu ana exposure kubwa...baba kachukue jimbo hilo..go go go Will.

Nyie mshindilieni tu ujinga wakati lile jimbo ni la CDM 2015! Aende UNGUJA atapata jimbo la kushinda kwa uraisi!

 
- People thaanks a lot wote mbarikiwe mlichangia, I mean jana nimemamliza shuguli zangu Paris na Zurich, sasa naelekea Madrid nitakwua pale one day and then nitakwenda London na Rome, na Friday nitaruka kurudi Bongo.

- Well, tuonane bongo tujadili taifa letu, kuhusu kugombea uongozi sijaamua lakini baada ya kujionea mwenyewe hali ya bongo ndio tutaamua kama tutajitosa ama vipi, Otherwise ninawashukuru wote wka michango yenu na ushauri mzito sana, WOTE MBARIKIWE SANA NA MUNGU WA MBINGUNI!

Le Baharia Mutuz: Big Shooow!
 
316444_2385989848381_1209820481_32959751_2885080_n.jpg


Mtu mwenyewe anaonekana SHAROBARO! Hivi anaweza hata kuandamana huyu!

mshafanya dodoma ya ukoo sasa haayaaa saasa
ngoja nasie ndesa turudi moshi wote 2015 kama mtachukua viti sipendi kujaza uko bungen lakini sitaki kukosa 200,000 PER DAY
 
- people thaanks a lot wote mbarikiwe mlichangia, i mean jana nimemamliza shuguli zangu paris na zurich, sasa naelekea madrid nitakwua pale one day and then nitakwenda london na rome, na friday nitaruka kurudi bongo.

- well, tuonane bongo tujadili taifa letu, kuhusu kugombea uongozi sijaamua lakini baada ya kujionea mwenyewe hali ya bongo ndio tutaamua kama tutajitosa ama vipi, otherwise ninawashukuru wote wka michango yenu na ushauri mzito sana, wote mbarikiwe sana na mungu wa mbinguni!

Le baharia mutuz: Big shooow!

aisee sijui alikuwa mdogo wako sikosei aligombania kitu fulan wakampiga makelele sana akaishia njiapanda
sipendi ya kukute jiandae sana sana kaka ukiona nakupiga madongo nakupenda sipendi uingie huko tukamiss zawadi za zurich.uk,usa nk
 
huyu jamaa ni moja wa jf founder lakini ni founder anayesusa kitu alichoshiriki kuanzisha sometimes! Sijui magamba wamempin!!

sio wamempin kitendo cha kuzaliwa ukiwa kwenye system ni ngumu kuigeuka system ndio maana anapunga hewa huko leo zurich kesho sweden keshokutwa kasema anakuja kuona mabomu ya mbagala ungekuwa na wewe kwenye system hata muda wa humu usingepata mwenzio anatumia neema alioikuta vizuri
big up braza
tukumbuke ufalme wako ila la kugombea ni pm kabla ujafikiria sio kabisa sipendi ukose 200,000 lakini napenda kukuona ukiwa unaendelea kuishi na afya yako njema sipendi ubanduke ngozi kama amh fulani napenda uchechemee uzeeke kwa amani kama mrema lyatonga
all the best
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom