Wlliam J Malecela: Kachukue Dodoma Mjini 2015

Status
Not open for further replies.
Duh Mzee Cigweimis Samwel Malecela hajaibiwa ha ha ha ha.

316444_2385989848381_1209820481_32959751_2885080_n.jpg
 
- People thaanks a lot wote mbarikiwe mlichangia, I mean jana nimemamliza shuguli zangu Paris na Zurich, sasa naelekea Madrid nitakwua pale one day and then nitakwenda London na Rome, na Friday nitaruka kurudi Bongo.

- Well, tuonane bongo tujadili taifa letu, kuhusu kugombea uongozi sijaamua lakini baada ya kujionea mwenyewe hali ya bongo ndio tutaamua kama tutajitosa ama vipi, Otherwise ninawashukuru wote wka michango yenu na ushauri mzito sana, WOTE MBARIKIWE SANA NA MUNGU WA MBINGUNI!

Le Baharia Mutuz: Big Shooow!

Le Baharia Mutuz: Big Shooow!

Hivi wewe huwa ni Cheif Engineer, Cheif Cook, Chief Office, Crew au mvuta kamba?
 
William J. Malecela


‎@ HoMe sweet home!... Wallahi this is the really Bongo, ha! ha! ha! happy to be back to the Original I looove it and thanks be to my God kwa kunifikisha salama bin usalimini! ha! ha! ha! ha! Just need a lot of REST you know! ha! ha!

- My many thaanks to Mh. Nape Nnauye, Omar Kimbau, Kinje Mwiru + Rachel Michael, Da Judy, Atieno P Gidss, + Verna Mutungi, + Samweli Malecela + My Super Mom Mh. Anne Kilango, I mean sina cha kuwalipa kwa utu na ukarimu wenu toka nimetua hapa Bongo, I am humbled na MBARIKIWE na MUNGU WAMBINGUNIs! - Le Baharia Mutuz William!
Source: Nape FB wall


Sijui ndo maanadalizi ya kukitoa Kibajaj pale jimboni yanaanza???
 
hicho kibajaj kina akili ya tope sana
Kwa historia ya nchi hii hajawai kutokea mbunge pumba kama Livingstone Lusinde
 
karibu sana

itabidi uanze kupost picha na utueleze umeonaje bongo, baada ya miaka mingapi tena???
 
Ni bora mara elfu, elfu @New York kuwepo mjengoni kuliko kibajaji muimba taarabu!
 
Huyo kibajaj ni MC kule makole,anapeleka taarab bungeni,bw willy 2po nyuma yako ila SIKUSHAURI UGOMBEE KWA MAGAMBA
 
Waingereza wanaita hiki unachozungumzia "Nepotism".

Watumia mtaji wa baba yake kufanya shughuli nyingine za kiuchumi siyo lazima apate kipato kutokana na kodi za Watanzania
 
Welcome back meeeeeeen!Usikimbie huu mgomo wa drs meeen,tukomae wote,bongo kwetu meeen
 
Hahaha! Watu wachokozi! Yaani hata akinywa chai ya rangi akachokoroa meno na mint-flavoured toothpicks mnaripoti!
 
watu wa mtera wanasema hapana kutawaliwa na ukoo wa malecela. Endeleeni kuuzunguka mbuyu
 
Njoo uipate fresh, hao wapambe wanakuchuuza wanafikiri umerudisha vijisenti vya mzeee wavikombe!!! Tread carefully wabongo wa siku hizi sio watu wazuri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom