Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
i would vote for William kuliko yule kibajaji hakuna anachofanya
Well said, I would count myself at the side.
i would vote for William kuliko yule kibajaji hakuna anachofanya
Masa ni-inbox tena yr cell we need to talk bro, mwendo ndio huu sasa mdundo mkuu wangu, either sasa or never+
Le Baharia+
Jumanne (1994-1996) - Cigweimis Samuel MalecelaDuh Mzee Cigweimis Samwel Malecela hajaibiwa ha ha ha ha.
Kweli William aliokoka
unless karudi kwene ukafiri lakini nijuavyo jamaa aliokoka
Wewe unae wa kukuna? au ndio huyo minyama uzembe?
Kama haya ya kwenye FB profile yake ni ya ukweli,then no wonder jamaa ni mtu mzima.Amemaliza primary 1975!Let say alimaliza na umri wa miaka 10.So jamaa ni overforty.Mkuu huyu ni wewe kabisaaa??umezaliwa mwaka gani mbona kama unazeeka haraka??punguza pombe na umalaya baba!
hii font kama ya @NEW YORK CITYEnough with blah blah za JF.
Huyu ni kaka yetu, kamanda wetu, kijana mwenzetu na pia ni mwenzetu na pia tunajua misimamo yake ambayo ninaweza ni progressive.Kwa wanaomjua William watakuambia kuwa ni kiongozi toka enzi zake alipokuwa baharia na waliokaa naye beach watakuwambia unlike watoto wa wakubwa wengine William hana majivuno (sifa kubwa ya wanasiasa wetu siku hizi) na sioni sababu kwa nini asiweze not only kuwa mbunge wa mji mkuu kama Dodoma.Anakubaliaka, ni mtu wa watu na tayari constituency kubwa ya Dododma mjini naamini watamkubali.
Na bila kusahau kuwa ni Cabinet materia so sioni kwa nini asirudi nyumbani na aendelee kumkoma nyani gilabuWilliam Samuel Malecela, Dodoma Mjini wants you, but your country NEEDS YOU more!
hii font kama ya @NEW YORK CITY
aiseeee basi jamaa ni noma....kwa hiyo anajianzishia thread afu anajijibu mwenyewe.....huyu jamaa aisee hata ukoo wake sidhani kama anaweza kuuongoza.....Mkuu ni yeye mwenye@ kumkoma Nyani anapenda kuitumia sana. Huyu ni willie
damn right.......sema hakukuwa na haja ya kusema hayo...Waambie walioanza, wanantafutia ban kwa kuwa nimewaambia huyo kijana wao ana manyama uzembe, sasa sijui wanakasirika nini na kitu cha ukweli na picha walioweka wenyewe ni ushahidi kamili.
Jamani huyu kijana mbona huo mkao na hiyo sura na vile vidani, mimi hajanikalia sawa. Au ndio mambo ya New York hayo?
- People thaanks a lot wote mbarikiwe mlichangia, I mean jana nimemamliza shuguli zangu Paris na Zurich, sasa naelekea Madrid nitakwua pale one day and then nitakwenda London na Rome, na Friday nitaruka kurudi Bongo.
- Well, tuonane bongo tujadili taifa letu, kuhusu kugombea uongozi sijaamua lakini baada ya kujionea mwenyewe hali ya bongo ndio tutaamua kama tutajitosa ama vipi, Otherwise ninawashukuru wote wka michango yenu na ushauri mzito sana, WOTE MBARIKIWE SANA NA MUNGU WA MBINGUNI!
Le Baharia Mutuz: Big Shooow!