Wanapenda maisha mazuri na raha duniani ndo maana wanaenda kwa MBA
Hiyo MBA sasa naona ni Married By Accident
Wanapenda maisha mazuri na raha duniani ndo maana wanaenda kwa MBA
Hiyo MBA sasa naona ni Married By Accident
Hiyo MBA sasa naona ni Married By Accident
kuna mdada tupo nae ofcn yani cjui niseme kamshika mume wa mtu cjui wameshikana wala celewi,yaani ndio kageuka mke, asubuhi analetwa ofcn, mchana anachukuliwa lunch, jioni anakuja kurudishwa home, party na mambo kibao wapo pamoja, na wana miaka 5 sasa, cku moja nilmuuliza kama ana mpango wa kuwa na familia yake akanijibu "ndoa zinasumbua nitabanana hapa hapa kwanza napata kila aina ya starehe, sasa niolewe nitake nini tena"
du hawa wadudu wanaume hawa ona sasa huyo si bora tu asingeoa?
nakupa tano mkuu hii ndo inafaa kabisa kwa hao wadudu wanaume ambao ni MBA
Kweli kabisa nimeshuhudia wanaume wakisema hivyo du ila mimi nikiwakamata nitaonyesha mfano
Nyamayao wanakamatika kuwa mtu wa maombi na pia kumwombea mmeo.Nakuambia kama kuna kitu anafisha MUNGU atakuonyesha tu.Ninao ushuhudahawa watu hawakamatiki mami, yaani katika kiumbe ambacho hakikamatiki ni hao......wanateleza.
unajua nini maana mwanaume keshaapa na kusema "nitawaacha na kuwaepuka wengine wote" na kuambatana na mkewe tu.Huyo mwanamke kama bado hajaolewa acha ahangaike mwenye kosa hapa ni mwanaumeWhy is it always a man's fault while the lady knows that the man is married and still choses to be with him???
Why is it always a man's fault while the lady knows that the man is married and still choses to be with him???
Hii Care ya hao MBA inanitia mashaka.Kama mtu kashindwa kumcare mama watoto wake, how come akakujali wewe? ipo wapi for better for worse? I cant believe this.Na akikuchoka atatafuta sababu zilizokuwa kwa mkewe na kujipatia mwingine wa kum-care.
Du! Hii dunia inaendea mwisho,uaminifu sifuri kabisa.
Uko sahihi. Hakuna cha ku-care wala nini. Mimi ni MBA. Kwangu mimi demu akinikubali nikampa laki sio kwamba nam-care. Huwa nahitaji huduma hiyo ninayoitaka kwake. Na naweza nisirudi mpaka siku nitakapohitaji tena (hapo ndio wanasema hatuwabani). Akinipigia wakati sihitaji nakuwa busy. Nikimhitaji napeleka hela yoyote. Anatoa.
nimefanya uchunguzi nkamwuliza small hse wa jamaa yangu kuwa why anakaaa nae akijua hatomuoa,wanafanya siri etc?kasema ati
1.Anampa mawazo makini
2.Hamsumbui(mida mida anakimbia kwa mkewe nae anafanya mambo yake kiuhuru)
3.Anajihakikishia ye ni mzuri thats why amechaguliwa na mtu mwenye mke ndani
4 Anyway na kaujinga kengine ambako hakaenei hapa
Uko sahihi. Hakuna cha ku-care wala nini. Mimi ni MBA. Kwangu mimi demu akinikubali nikampa laki sio kwamba nam-care. Huwa nahitaji huduma hiyo ninayoitaka kwake. Na naweza nisirudi mpaka siku nitakapohitaji tena (hapo ndio wanasema hatuwabani). Akinipigia wakati sihitaji nakuwa busy. Nikimhitaji napeleka hela yoyote. Anatoa.
Hiyo number 4 nilikuwa niko so interested kuijua but since haienei hapa basi inabidi tu niwe mdogo
(Masa hata kwenye PM pia haienei?)
Mwezi mtukufu huu bwana.....subiria mfungo uishe otherwise patakuwa hapatoshi hapa!
Hahahahahha mungu wangu kumbe si wewe ulopost hiyo post lol naona akili ishachoka sasa bora niende home tu lol
Na Fidel asiione hii am crossing my fingers!!
Unaniwaza waza nini? Nipe contacts kwa PM nitakutafuta tu...hahahahahahahah Fidel anasubiria futari sehemu...
Hee makubwa! Kwani we ni MBA1. MBA2, MBA3 au MBA4?
1. Married But Available
2. Married But Unhappy and
3. Married By Accident? au
4 MArried But Unsatisfied?