Why dating MBA is becoming a way of life to most ladies.........

Hili swala liko vizuri naomba nitoe mchango wangu kama ifuatavyo!

Ni kweli tunaonekana kuwajali sana wanawake hawa wa nje kutokana na mazingira halisi ya wake zetu. Kwetu tuna msemo unaosema kwamba mwanamke ni mpole anapoingia ila akishatia miguu ndani chamoto utakiona, sasa hapa ndo wanapokosea kwani wanajisahau na wanajikuta na tabia kama vile mnashindana ndani hivyo wanaume tunachoka.

Unakuta unarudi home baada ya mishe za town unamkuta mke kavuta mdomo kama komeo, unapokelewa na maneno yasiyokutia moyo ukizingatia kwamba siku hizi mtu kurudi nyumbani ni kwa Neema tu sasa mazingira haya yanawaweka watu mbali sana kiasi cha kutafuta faraja nje ya hapo.

Kwa upande wa pili, mabachela wa siku hizi wengi wazinguaji kwani hawana hiyo experience ya kukaa n mke wakatambua maana ya kuwa na mke mzuri au mbaya hivyo wao wanawatreat wanawake wote sawa. Ninatambua tofauti uliopo miongoni mwa wanawake, kuna mwingine ukiwa naye hata kama reception haiko njema lakini unajipiga kifua na kusema hapa nimefika maana anajua nafasi yake kama mwanamke sasa mabachela wana base kwenye sura sanaaa, material na mamb mengine kama hayo.

Kwa kweli mimi natamani kumpata angalau mdada mmoja kama hawa anayejitambua, mbona nitaishi kwenye mbingu nyingine kabisa.

Ndo mchango wangu
 
MBA wengi wanaotafutwa na dada zetu ni wale wenye uwezo, Bachellors wengi wanakuwa ndo wanatafuta au wanaanza maisha so Mpunga unakuwa bado haujakubali na hao wanawake si wanakuwa wanafuata mikwanja ndo maana wana rely sana kwa hao ma MBA. na MBA hawezi kukubana sana kwa sababu anakuwa mtu wa family, na mademu wengi siku hizi utakuta ana MBA wake na Jamaa ambaye anatarajia kuishi naye hapo mbeleni so kwa kuwa MBA hamchungi kwa sana ndo maana anafurahia sana huo uhuru ambao unamuwezesha vile vile kuwa na dogodogo size yake pembeni. I have experience on that.

Nimehisi kama umenigusa mkuu. Maana nina mchumba wangu tuko pamoja kama miezi mitatu hivi. Tatizo ni kwamba hataki kabisa tupeane utam. Anasema mpaka wakati utakapofika. Wakati huwa ananambia mimi sio mpenzi wake wa kwanza. Sasa naanza kuhisi ana ki MBA kinatafuna
 
Back
Top Bottom