Why dating MBA is becoming a way of life to most ladies.........

Hiyo MBA sasa naona ni Married By Accident

Nakuunga mkono, Na ndio maana wanaweza kuwa na uhusiano mwingine wa nje. Unakuta mtu anaoa kwa sababu kaona jamaa yake ameoa, lazima huyu mtu atakuwa MBA.
 
kuna mdada tupo nae ofcn yani cjui niseme kamshika mume wa mtu cjui wameshikana wala celewi,yaani ndio kageuka mke, asubuhi analetwa ofcn, mchana anachukuliwa lunch, jioni anakuja kurudishwa home, party na mambo kibao wapo pamoja, na wana miaka 5 sasa, cku moja nilmuuliza kama ana mpango wa kuwa na familia yake akanijibu "ndoa zinasumbua nitabanana hapa hapa kwanza napata kila aina ya starehe, sasa niolewe nitake nini tena"

Masikini hapo si ajabu mkewe huwa anadanganywa mume yuko buzy hata lunch hali kumbe!!............
 
du hawa wadudu wanaume hawa ona sasa huyo si bora tu asingeoa?

na ana mke na watoto 2, na mbaba ana wivu ki kweli kweli na huyu mrembo wake, kuna cku alikuja ofcn kavimbia jicho mbaba kamkong'ota coz alichelewa kurudi nyumbani kwake na alikuwa amezima cmu, so alivyorudi alimkuta mbaba ka park nje anamsubiria, ndio yakawa yakuwa.......
 
hawa watu hawakamatiki mami, yaani katika kiumbe ambacho hakikamatiki ni hao......wanateleza.
Nyamayao wanakamatika kuwa mtu wa maombi na pia kumwombea mmeo.Nakuambia kama kuna kitu anafisha MUNGU atakuonyesha tu.Ninao ushuhuda
 
Why is it always a man's fault while the lady knows that the man is married and still choses to be with him???
unajua nini maana mwanaume keshaapa na kusema "nitawaacha na kuwaepuka wengine wote" na kuambatana na mkewe tu.Huyo mwanamke kama bado hajaolewa acha ahangaike mwenye kosa hapa ni mwanaume
 
Why is it always a man's fault while the lady knows that the man is married and still choses to be with him???

....Unajua why wanalaumiwa hawa? ni kwa sababu kawaida tunaamini ni mwanaume ndiye anayechokoza nyuki kwa kuanza kuapproach but ukweli nikwamba sisi wanawake ndio wenye uwezo wa mwisho wa kuamua either kuwa naye au lah.
 
nimefanya uchunguzi nkamwuliza small hse wa jamaa yangu kuwa why anakaaa nae akijua hatomuoa,wanafanya siri etc?kasema ati

1.Anampa mawazo makini
2.Hamsumbui(mida mida anakimbia kwa mkewe nae anafanya mambo yake kiuhuru)
3.Anajihakikishia ye ni mzuri thats why amechaguliwa na mtu mwenye mke ndani
4 Anyway na kaujinga kengine ambako hakaenei hapa
 
Hii Care ya hao MBA inanitia mashaka.Kama mtu kashindwa kumcare mama watoto wake, how come akakujali wewe? ipo wapi for better for worse? I cant believe this.Na akikuchoka atatafuta sababu zilizokuwa kwa mkewe na kujipatia mwingine wa kum-care.
Du! Hii dunia inaendea mwisho,uaminifu sifuri kabisa.

Uko sahihi. Hakuna cha ku-care wala nini. Mimi ni MBA. Kwangu mimi demu akinikubali nikampa laki sio kwamba nam-care. Huwa nahitaji huduma hiyo ninayoitaka kwake. Na naweza nisirudi mpaka siku nitakapohitaji tena (hapo ndio wanasema hatuwabani). Akinipigia wakati sihitaji nakuwa busy. Nikimhitaji napeleka hela yoyote. Anatoa.
 
Mambo ya tiGo hayo!
 
nimefanya uchunguzi nkamwuliza small hse wa jamaa yangu kuwa why anakaaa nae akijua hatomuoa,wanafanya siri etc?kasema ati

1.Anampa mawazo makini
2.Hamsumbui(mida mida anakimbia kwa mkewe nae anafanya mambo yake kiuhuru)
3.Anajihakikishia ye ni mzuri thats why amechaguliwa na mtu mwenye mke ndani
4 Anyway na kaujinga kengine ambako hakaenei hapa

......... Makubwa sasa anaona raha gani?- Ila kusema kweli sometimes kuna wakati mtu unatamani ungekuwa unaishi na mumeo/mkeo long distance maana loh huwakuna vijikero flani hivi vya maudhi!!

Hiyo number 4 nilikuwa niko so interested kuijua but since haienei hapa basi inabidi tu niwe mdogo
(Masa hata kwenye PM pia haienei?)
 
Uko sahihi. Hakuna cha ku-care wala nini. Mimi ni MBA. Kwangu mimi demu akinikubali nikampa laki sio kwamba nam-care. Huwa nahitaji huduma hiyo ninayoitaka kwake. Na naweza nisirudi mpaka siku nitakapohitaji tena (hapo ndio wanasema hatuwabani). Akinipigia wakati sihitaji nakuwa busy. Nikimhitaji napeleka hela yoyote. Anatoa.

Nilikuwa sijacheka tangu asubuhi wallah nimecheka hadi machozi loh kumbe hapa wanaotumiwa ni hawa kina dada wao wanajiona wamewiiiin....... eti napeleka pesa yote .... anatoa!
 
Mwezi mtukufu huu bwana.....subiria mfungo uishe otherwise patakuwa hapatoshi hapa!

Hahahahahha mungu wangu kumbe si wewe ulopost hiyo post lol naona akili ishachoka sasa bora niende home tu lol

Na Fidel asiione hii am crossing my fingers!!
 
Hahahahahha mungu wangu kumbe si wewe ulopost hiyo post lol naona akili ishachoka sasa bora niende home tu lol

Na Fidel asiione hii am crossing my fingers!!

Unaniwaza waza nini? Nipe contacts kwa PM nitakutafuta tu...hahahahahahahah Fidel anasubiria futari sehemu...
 
Unaniwaza waza nini? Nipe contacts kwa PM nitakutafuta tu...hahahahahahahah Fidel anasubiria futari sehemu...

Hee makubwa! Kwani we ni MBA1. MBA2, MBA3 au MBA4?
1. Married But Available
2. Married But Unhappy and
3. Married By Accident? au
4 MArried But Unsatisfied?
 
Hee makubwa! Kwani we ni MBA1. MBA2, MBA3 au MBA4?
1. Married But Available
2. Married But Unhappy and
3. Married By Accident? au
4 MArried But Unsatisfied?

Non of the above

Single, not available na not looking ...labda on very special cases!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom