Why dating MBA is becoming a way of life to most ladies.........

kuna mdada tupo nae ofcn yani cjui niseme kamshika mume wa mtu cjui wameshikana wala celewi,yaani ndio kageuka mke, asubuhi analetwa ofcn, mchana anachukuliwa lunch, jioni anakuja kurudishwa home, party na mambo kibao wapo pamoja, na wana miaka 5 sasa, cku moja nilmuuliza kama ana mpango wa kuwa na familia yake akanijibu "ndoa zinasumbua nitabanana hapa hapa kwanza napata kila aina ya starehe, sasa niolewe nitake nini tena"

Nyamayao,embu mkumbushie huyo dada anachofanaya ni dhambi,maana najua huko kwa original wife hakuna amani jamani,awe na huruma kwa watoto kidogo jamani,mambo mengine bwana sisi binadamu tu wakatili kwelikweli!!!!
 
Why is it always a man's fault while the lady knows that the man is married and still choses to be with him???

...Money! What Else??
 
Last edited:
Uko sahihi. Hakuna cha ku-care wala nini. Mimi ni MBA. Kwangu mimi demu akinikubali nikampa laki sio kwamba nam-care. Huwa nahitaji huduma hiyo ninayoitaka kwake. Na naweza nisirudi mpaka siku nitakapohitaji tena (hapo ndio wanasema hatuwabani). Akinipigia wakati sihitaji nakuwa busy. Nikimhitaji napeleka hela yoyote. Anatoa.

....mmmmm, Mkuu, Have You Ever Thought That You Could Be Two or Three Of Your Kind To The Bint???? Do You Ever Pause To Think About Mdudu????
 
Nyamayao,embu mkumbushie huyo dada anachofanaya ni dhambi,maana najua huko kwa original wife hakuna amani jamani,awe na huruma kwa watoto kidogo jamani,mambo mengine bwana sisi binadamu tu wakatili kwelikweli!!!!

Thank you very much for a fair reflection!!! watu tunajisahau sana
 
Kwa wale washikaji wangu wa karibu ambao ni MBA, the biggest reason wanafanya hivyo ni kwamba homu hawawezi kula tIGO na huko kwa "vikuku njaa" ni tIGO kwa mtindo wa "high way"

In short ni kwamba yeyote anayetembea na MBA ni mama muuza... Period!!
 
Last edited:
aaaaah, utakulaje ugali maharage daily bana??
hawa vimada they know to care kuliko maelezo, so MBA tunakwendaga kupata tulizo asee wacha kabisa!!, they have skillz and talents in love and romance!.

Jaribu kula mboga ile ile mchana na jioni uone inavyokinaisha ha ha ha ha ha hata hamu ya msosi utakuwa huna :) . Na usiamini usemi wa "mtatembea mabucha yote lakini nyama ni ile ile." Nyama inaweza kuonekana machoni ni ile ile lakini mdomoni ina ladha tofauti kabisa :) Leo ukila nyama, kesho kisamvu, kesho kutwa samaki na mtondogoo kuku hamu ya chakula inakuwepo kila siku iendayo kwa mungu. Binadamu kama wanyama tulitakiwa kuwa na mapatna kibao lakini ustaarabu ulioletwa na dini na haya magonjwa ya kutisha ndiyo yanatufanya tuwe waoga kucheza viwanja vya nyumbani na ugenini.

Labda tuanze na ndoa za mikataba ya miaka miwili miwili…LOL! Kama bado mnapendana mnaongeza miaka mingine miwili vinginevyo mnahamia viwanja vingine..lakini kama kuna watoto basi watateseka sana. Lakini nadhani katika nchi za wenzetu na hasa wale ambao hawataki kuwa na watoto katika ndoa zao, miaka michache ijayo kutakuwa na ndoa za mikataba au hili la "open marriages" litazidi kushamiri kwa kasi sana maana wamegundua kwamba kuna raha iliyoje :) ya kucheza katika viwanja vya ugenini ha ha ha ha na wengine wanathubutu hata kusema ‘ndoa yangu imekuwa very stable kutokana na ‘open marriage' aahhhh! Kabla ya hapo ugomvi ulikuwa hauishi lakini sasa ni raha mustarehe….mwambie mbongo hili la "open marriage" kwamba yeye akajirushe katika viwanja vya ugenini na mama pia akajirushe katika viwanja vya ugenini…hata siku moja mbongo hatakuelewa kabisa…utadhani njemba itachukua nanihii moja kwa moja hivyo kuitaifisha…kumbe inashughulika tu halafu inafunika....LOL!
 
Last edited:
Just, guess that you all have the answers!!!
But if you are an angel, you may not know.
Ukisema hujui kabisa utakuwa mnafiki.
 
Nyamayao wanakamatika kuwa mtu wa maombi na pia kumwombea mmeo.Nakuambia kama kuna kitu anafisha MUNGU atakuonyesha tu.Ninao ushuhuda

nakubaliana na wewe lakini wakati mwingine unaweza choka kufanya hayo maombi , mana unaona limtu kama linafanya makusudi vile, mie nilichokaga kumuombea nikawa najiombea mwenyewe tu lakini baada ya muda likabadilika, sasa cjui yale maombi ndio yalifanya kazi baada mie kujichokea.
 
nimefanya uchunguzi nkamwuliza small hse wa jamaa yangu kuwa why anakaaa nae akijua hatomuoa,wanafanya siri etc?kasema ati

1.Anampa mawazo makini
2.Hamsumbui(mida mida anakimbia kwa mkewe nae anafanya mambo yake kiuhuru)
3.Anajihakikishia ye ni mzuri thats why amechaguliwa na mtu mwenye mke ndani
4 Anyway na kaujinga kengine ambako hakaenei hapa

yani hapo wanawake ndipo tunapojidanganya.....
 
Ndo maana na sisi Mabachelors tunapenda sana tena mno akina mama walio olewa na wenye familia zao kwa vigezo vifuatavyo.
1. Wanajua kujali sana kuliko masister du
2. Hawana gharama katika matumizi zaidi zaidi atakuhudumia wewe.
3. Anakuacha huru full time hana haja ya kukufuata fuata maana ana familia.
4. Wanamvuto wa hali ya juu katika mahabaz.
5.
6.
Hizo zingine mpwa Masanilo atamalizia mijimama bana we acha tu.
 
Nyamayao,embu mkumbushie huyo dada anachofanaya ni dhambi,maana najua huko kwa original wife hakuna amani jamani,awe na huruma kwa watoto kidogo jamani,mambo mengine bwana sisi binadamu tu wakatili kwelikweli!!!!

ma bro unajua mambo ya kike kike? ataona kama namuonea gere fulani vile, na sio kwamba hajui anamchezea mwenzie rafu, anaelewa vizuri.
 
Kwa wale washikaji wangu wa karibu ambao ni MBA, the biggest reason wanafanya hivyo ni kwamba homu hawawezi kula tIGO na huko kwa "vikuku njaa" ni tIGO kwa mtindo wa "high way"

In short ni kwamba yeyote anayetembea na MBA ni mama muuza... Period!!

mie labda nicjue kama ndicho kinachompeleka nje, ndoa itakufa kibudu! nikimuona nitaona kinyaa kisichovumilika kabisa.....mambo mengine kinyaa chake huwezi kuvumilia.
 
Ndo maana na sisi Mabachelors tunapenda sana tena mno akina mama walio olewa na wenye familia zao kwa vigezo vifuatavyo.
1. Wanajua kujali sana kuliko masister du
2. Hawana gharama katika matumizi zaidi zaidi atakuhudumia wewe.
3. Anakuacha huru full time hana haja ya kukufuata fuata maana ana familia.
4. Wanamvuto wa hali ya juu katika mahabaz.
5.
6.
Hizo zingine mpwa Masanilo atamalizia mijimama bana we acha tu.

na mnawashika mackio kweli, mie nije kukuhudumia wewe Fidel? khaa.
 
mie labda nicjue kama ndicho kinachompeleka nje, ndoa itakufa kibudu! nikimuona nitaona kinyaa kisichovumilika kabisa.....mambo mengine kinyaa chake huwezi kuvumilia.

Hahahaha Nyamayao umesikia mke wa waziri kaongeza makalio si likaongezeka moja jingine likawa vile vile alifanya hivyo baada ya kuona Mr. wake kila kimada anacho tembea nacho kimefunga mfadhaiko nyuma aka wowowo na yeye akaongeza sasa serikali ina mpango kumsafilisha kwenda kumtibia. Ndo hivyo nyumbani mtu huwezi pata vyote.
 
na mnawashika mackio kweli, mie nije kukuhudumia wewe Fidel? khaa.

Sasa si umenipenda mama utanihudumia sana tena mfano unapiga cmu nakuletea mapozi iwa mnaumia kweli kweli acha bana majimama yanajua kupenda. Mfano Eid hii tayari mzee nimesha rushiwa full mishopping.
 
Hahahaha Nyamayao umesikia mke wa waziri kaongeza makalio si likaongezeka moja jingine likawa vile vile alifanya hivyo baada ya kuona Mr. wake kila kimada anacho tembea nacho kimefunga mfadhaiko nyuma aka wowowo na yeye akaongeza sasa serikali ina mpango kumsafilisha kwenda kumtibia. Ndo hivyo nyumbani mtu huwezi pata vyote.
mkuu,
waziri gani huyo aseee??
 
Back
Top Bottom