Why dating MBA is becoming a way of life to most ladies.........

Mara nyingi wanawake wanaopenda kutembea na waume za watu huwaga ni watu wenye uwezo mdogo sana wa kiakili. Anayebisha na afanye kautafiti anecdotal kadogo tu aone.
 
Mara nyingi wanawake wanaopenda kutembea na waume za watu huwaga ni watu wenye uwezo mdogo sana wa kiakili. Anayebisha na afanye kautafiti anecdotal kadogo tu aone.

Sio kweli. The women are just curious!
 
Mara nyingi wanawake wanaopenda kutembea na waume za watu huwaga ni watu wenye uwezo mdogo sana wa kiakili. Anayebisha na afanye kautafiti anecdotal kadogo tu aone.
Na wanaume wanaotongoza msichana na huku anajua ana mke wake na huyo naye uwezo wa akili utakuwa mdogo pia.
Mie huwa nashangaa, utakuta mwanaume ana mke na watoto lakini bado anataka msichana, mbaya zaidi utakuta mtu anaficha kama ameoa, au mwingine ana pete yake ya ndoa kidoleni halafu bado anakaza kuchombeza mdada. Tena anaganda kama ruba. Sasa mwenye akili ndogo ni mwanaume asiyejua maana ya kuoa na kwenda kuparamia wasichana.
 
Sio kweli. The women are just curious!

Yeah sure! only if trading your ****for a few home stuffs and desperate second class treatment from a poacher means so!!!

I thought i was the other way round where a man was just curious to see/taste what is beneath those skirts and top; by just throwing a few cents in front of a prey!!
 
Last edited by a moderator:
Na wanaume wanaotongoza msichana na huku anajua ana mke wake na huyo naye uwezo wa akili utakuwa mdogo pia.
Mie huwa nashangaa, utakuta mwanaume ana mke na watoto lakini bado anataka msichana, mbaya zaidi utakuta mtu anaficha kama ameoa, au mwingine ana pete yake ya ndoa kidoleni halafu bado anakaza kuchombeza mdada. Tena anaganda kama ruba. Sasa mwenye akili ndogo ni mwanaume asiyejua maana ya kuoa na kwenda kuparamia wasichana.

This is totally different from the one referred by those who confessed in the bang... just read again!
 
Hawa nao kwa ku-copy paste, aibu tupu.

Na kweli Bluray kuna mad akama mbili hivi nimezisoma kwa Bang! but kuna sehemu nilishawahizisoma pia. Halafu hata quality ya karatasi zake siku hizi zinakuwa low sijui what is happening- Imelda please do something !
 
ahahahahahaahhaaa....very kufurahisha...kumbe tulio-OA deal namna hiyoo..nilikuwa sijui......

ila inatia walakini kuona mwanamke anasema eti anapenda MBA kwakuwa HAULIZWI eti alikuwa wapi?....mie najuwa mbwa ndio huwa haulizwi alikokuwa ...ndio...si alikuwa anafuatilia majike walio kwenye heat....

dada zetu inabidi wawe makini na majibu yao mepesi kwa maswali ya msingi na hasa wanapojuwa kuwa ni habari inaandikwa magazetini...

copy n paste...yap....majibu yaliyotolewa na hawa dada zetu hayana maadili ya kitanzania ...naanza kuamini ni interview za huko kwa wenzetu ndio zime-paste-iwa na tukaletewa watanzania tuzitumie kama evidence tosha za kwanini wa-liwe na waume za watu....

bang nadhani wanahitaji home work ya kufanya..KWANN WANAWAKE WALIOOLEWA NAO WANATOKA NA BACHELLORZ???...au ndio opposite ya majibu ya dada zao kutoka na MBA'S?
 
Habarini wandugu.

Jana nikiwa namalizia weekend yangu nilikuwa naperuzi jarida la Bang! nikakuta article moja ikielezea confessions from single women as to why they are more interested in married men -wenyewe wamewabatiza abbreviation ya MBA-Married But Available.

Kwa wote walioconfess ndani ya jarida hilo wamesema kuwa these MBAs wanavyo vitu ambavyo bachellors wengi hawana. Mfano (ingawa kuna sababu nyinginezo ambazo ziko kwa wanawake hawa zaidi) ila hizi zimenivutia;
1. Wanacare kuliko bachellors
2. They take you seriously than bachelors and most of all
3. They happen to have mature advice to these ladies problems than the bachelor ones
4. Wanakupa uhuru wako-huulizwi where have you been or why are you late? e.t.c

I wonder to what extent this is true, ningetamani kama Bang! wangewahoji kina kaka/shemeji pia kujua kwa nini wanaprefer married than single ladies.

Hakuna lolote. Ni ufuska tu. Ni tabia chafu. Ni tamaa mbaya. Ni uzinzi.
 
kuna mdada tupo nae ofcn yani cjui niseme kamshika mume wa mtu cjui wameshikana wala celewi,yaani ndio kageuka mke, asubuhi analetwa ofcn, mchana anachukuliwa lunch, jioni anakuja kurudishwa home, party na mambo kibao wapo pamoja, na wana miaka 5 sasa, cku moja nilmuuliza kama ana mpango wa kuwa na familia yake akanijibu "ndoa zinasumbua nitabanana hapa hapa kwanza napata kila aina ya starehe, sasa niolewe nitake nini tena"
 
du hawa wadudu wanaume hawa ona sasa huyo si bora tu asingeoa?
 
Back
Top Bottom