Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,239
- 113,612
- Thread starter
- #61
Ingetajwa Iramba ingekuaje?
Ingetajwa Pemba je?
Ingetajwa Iramba ingekuaje?
Ingetajwa Iramba ingekuaje?
Ndjabu tha dude aka Nyama hatari......kiboko ya NN c mnaona NN anavyotamba sasa hivi.
Binafsi ningependa kukutana na wana-JF wote.Unajua inakuwa ni vizuri kufahamia kwa majina halisi,jinsia,physical appearance,tukazungumza kidogo kuhusu forum/website yetu...etc;na njia nzuri tunaweza kuandaa party/sherehe ambayo tunahudhuria Wana-JF katika ukumbi fulani ambao utakuwa umependekezwa na wana-JF wenyewe.
Nafikiri hii inakuwa inapendeza zaidi.
ama kweli mmeishiwa
yaani napotea for couple of days na haya ndiyo mawazo yenu nyie watoto wa kiume manaojiita marijali!
what a shame
The thread is so gay .... hivi wananaume na balls zako unataka kukutana na mwanamme mwenzako ili iweje?
F it i dont wanna meet anyone from the net its that simple
Ndjabu tha dude aka Nyama hatari......kiboko ya NN c mnaona NN anavyotamba sasa hivi.
Kwa bahati mbaya hili swali limekuja tofauti na yaliyomo kichwani mwangu; natamani kama lingeulizwa "Who would you NOT like to meet and why?" ...Guess I will have to wait another day for that.
...I guess nikikutana na wana JF, addiction ya jukwaa hili itayeyuka, bora hivi hivi inavyosisimua kusoma postings za watu wenye majina ya ajabu ajabu kama;
KADA MPINZANI, BI SENTI HAMSINI, TAFITI THEN JADILI, FIKIRADUNI, MTU WA PWANI, DAR SI LAMU, MZEE ES, DR WHO, INVISIBLE, BRUTUS, OLE, MTINDIO WA UBONGO, NYANI NGABU, YEBO YEBO, MCHAMBUZI, SAHARA VOICE, YNIM, QUICK MOVER, MUGONGO MUGONGO, KUHANI, LUNYUNGU, HALISI, KISURA, MWAFRIKA WA KIKE etc etc etc ...na wenye majina ya kutisha tisha kama PAINKILLER,
...bila kuwasahau Members wengine 7,580 na wale 'wakozi-meni' wa hii forum!